Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
Nina mashaka na utajiri wako Mkuu, hebu njooni msikie pumba 😂😆 za tajiri wenu huku Harmful na dosho12Nashukuru umenielewa, shida ni kwamba mpenzi wangu ni mkorea hivyo huwa hatuongei sana bali vitendo ndio vingi, sasa nikipata humu itakuwa tunajimwaya mwaya ki uswahilini zaidi, si unajuwa japo mimi nina hela lakini nimetokea uswahilini!
Kwahiyo ninachofanya hapa ni kama mtu kuacha kuku kwenye jokofu na kwenda uswazi kununua miguu ya kuku.