Ninahitaji mpenzi mpya wa JF huyu wa sasa amepoteza mvuto

Ninahitaji mpenzi mpya wa JF huyu wa sasa amepoteza mvuto

Njoo basi tufungue mazungumzo, tutaongea kwa heshima tu kulingana na umri wetu si unajuwa sisi ni watu wazima bwana..
Kwahiyo hapo ndo ushaanza kutupia voko?😹😹
 

Attachments

  • IMG_5098.jpeg
    IMG_5098.jpeg
    67.7 KB · Views: 21
Inasemekana hawezi,ndo maana najiuliza hivi wewe ni tajiri kweli au unataka tu ukamtese mtoto wa watu,maana mpaka umekuja humu hizo ni nyege zenye umri usiopungua miaka mitatu mwilini
Mkuu naomba uheshimu haya maamuzi, hii ni nafasi kubwa sana kwa wadada humu, huwezi jua mdada ambae nitakuwa nae atakuwa ni nani yako, unaweza kukuta unatoboa maisha kupitia huu uzi.
 
Bora wewe mkuu.
Mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa naenda kukaa pembeni mwa barabara, nikiona basi la abiria linapita basi Mimi huangalia dirishani ilikusudi nimwone mwanamke mwenye sura nzuri ambaye atanipandishia hamu na hivyo ndivyo nilivyokuwa npata hamu ya kujichua😎.
Dah endelea kukaza labla utanifikia, mm enzi hizo nipo chekechea kila nikisikia sauti ya kike lazima nirushe kimoja cha nguvu
 
Dah endelea kukaza labla utanifikia, mm enzi hizo nipo chekechea kila nikisikia sauti ya kike lazima nirushe kimoja cha nguvu
Mkuu utajitahidi lakini kunifikia unahitaji nguvu za ziada.

Mimi nilikuwa napiga nyeto kwa hisia yaani nachora picha ya mwanamke mzuri akilini na namwaga bila kugusa nyeti yangu kwa mkono.

Mara ya kwanza nilitumia hii style nilipofungwa mikono nyuma kwa pingu na askari polisi.
 
Hujanielewa Mama Red black Hapa nahitaji mpenzi wa jf tu, mpenzi wa kukutana nae kimwili siwezi kutafuta ndani ya ardhi ya Tanzania.
Unaweza kurudia kusoma tena uzi.
Nimekupata vilivyo, ila imebidi nikushangae maana hizo siyo sifa za kitajiri ni ukuda 😎

Mama Red black tena hee leo kumekucha kumekucha in Majuto voice 🙌
 
Mkuu naomba uheshimu haya maamuzi, hii ni nafasi kubwa sana kwa wadada humu, huwezi jua mdada ambae nitakuwa nae atakuwa ni nani yako, unaweza kukuta unatoboa maisha kupitia huu uzi.
Humu sana sana utaishia kupita na eksi zetu,sema enewei kila la kheri kiongozi, nipo zangu kwa couch nazoom inyee ya mamaa Nusratt , pambana labda na wewe utapatamo ka kwako😋
 
Tajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea.

Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf.

Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi.

Tajiri Sina BAYA
Machache kuhusu mimi.
1. Nina hela.
2. Sina muda wa kubembeleza mpenzi.
3. Nina hela.
4, 5, 6, 7, 8, 9, 10. Nina hela.

Mpenzi ninaemtaka
1. awepo humu jf muda mwingi na kila nikiandika kitu nitakuwa namtagi.
2.awe amechangamka sio mshamba mshamba.
3. Awe na haiba ya mwanamke wa mtaani asiwe mgumu kama huyu wa sasa, yaani huyu wa sasa anabishana hadi mambo ya uchumi wa marekani na China, kwa mfano juzi alikuwa anabisha kuhusu ratiba ya mechi za ligu kuu anajuwa hadi namungo na mashujaa watacheza lini huyu amenishinda.

Kama kuna ambae utaona atanifaa pendekeza jina lake hapa utakuwa unakula dola kadhaa kila mwisho wa wiki kama malipo ya fadhila.
Dadekii 🫵 😃, utawaweza kweliii
 
Nimekupata vilivyo, ila imebidi nikushangae maana hizo siyo sifa za kitajiri ni ukuda 😎

Mama Red black tena hee leo kumekucha kumekucha in Majuto voice 🙌
Nashukuru umenielewa, shida ni kwamba mpenzi wangu ni mkorea hivyo huwa hatuongei sana bali vitendo ndio vingi, sasa nikipata humu itakuwa tunajimwaya mwaya ki uswahilini zaidi, si unajuwa japo mimi nina hela lakini nimetokea uswahilini!

Kwahiyo ninachofanya hapa ni kama mtu kuacha kuku kwenye jokofu na kwenda uswazi kununua miguu ya kuku.
 
Back
Top Bottom