Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

Sio vibaya ukisema unatafuta mwenza lakini hutaki tena kuzaa, kutumia neno mwanamke tasa haipendezi
 
Naenda moja kwa moja kwenye maada.

Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa.
Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine.
Mzazi mwenzangu mwenye watoto watatu tumetengana rasimi zaidi ya mwaka sasa na aliamua kuniachia watoto na kwenda kuanzisha maisha yake zaidi ya mwaka sasa, awali nilitegemea kuwa huyu mama mwenye mtoto mmoja angeweza kuwatunza na kuwajali hawa watt watatu lakini imekuwa tofauti. Lakini pia amekuwa akilazimisha na yeye awe na watoto watatu kama mwenzie jambo ambalo kwangu limekuwa gumu. kiufupi siwezi kuongeza watoto zaidi ya hawa wanne niliojaliwa wanatosha. Huyu mzazi mwenye mtoto mmoja nae ameamua kuondoka nae tumetengana rasimi kwa sababu matakwa yetu yametofautiana na yeye pia ameacha mtoto kwangu.
Hivyo kwa sasa nina watoto wanne ndani ya nyumba yangu. Miaka 8 mmoja, miaka 6 mmoja na miaka 2.5 wawili.

Baada kutafakari sana, nimefikiria vitu mhimu viwili
Kwanza kuwalea na kuwatunza hawa watoto kama ilivyo dhamira yangu toka awali bila kupitia changamoto yoyote
Pili, mimi mwenyewe kupata rafiki, mfariji na mshauri ambae muda mwingi atakuwa pembeni yangu. Hapa tendo la ndoa ni mhimu sana kwangu maana kuna wakati linapunguza makasiriko.

Sharti moja pekee nililonalo kwa mwanamke huyu nje sharti la kwanza la kuwa tasa, nahitaji awe mama mlezi, awapende na kuwajali watoto wangu (ingawa najua hii ni ngumu sana ila naomba Mungu anisaidie iwezekane), umri wake uwe chini miaka 30 ila asipungue 24.

Jukumu na malengo yangu niliyojiwekea sasa yametimia, lengo la kwanza ilikuwa kupata watoto, lengo la pili sasa naanza kutafuta hela.

Naweka angalizo kwa mwanamke alie tayari, sihitaji mtoto tena.

Kama una ndugu, dada, rafiki au jirani naomba karibu sana kwenye DM yangu.

Lakin pia nakaribisha ushauri kutoka kwenu wanajukwaa.
Mwisho

Ushauri wa Bure;

Lea watoto, tafuta girl friend, unaenda kuleta stress tu!
 
Mkuu Arch Barrel tuliza akili tafuta mjane mwenye watoto kama wawili hivi au zaidi, then unga nae urafiki wa kimapenzi then mlisongeshe. Kwa uzoefu wangu, hawa wametulia na wengi wao wenye akili hawana malengo yakuzaa tena na wanaombaga Mungu wapate wanaume wakuwaliwaza na kuwashauri mambo mbalimbali ya msingi yahusuyo malezi ya watoto na maendeleo. Kilalaheri mkuu...
 
👉hongera una uzao imara,

👉 Kwann usikae ukawalea wanao mwenyw? Mfano huyo wa miaka nane na sita ni wakati wa kuwaelekeza kazi kama kufagia, kuosha nyumba, kazi ndogo ndogo, kuwaogesha wadogo zao,

👉Unajua madhara ya mwanamke kulea watoto wa mwanamke mwingine? Asilimia kubwa watoto watapitia mateso na wewe kujifanya hujui na mwishoni kuwaletea watoto trauma zikazozalisha chuki, visasi na ubinafsi dhidi yako

👉Ukiona majukumu mengi tafuta housegirl akulelee wanao, Ila hapa ni ngumu kwake na kwako hasa mkianza kutamaniana kingono, mazoea yatazidi kazi itaharibika

👉 Mwishoni kaa chini angalia future yako binafsi kama baba, na mwanaume na watoto wako kabla ya kuongeza kiumbe ke, ukipata majibu sahihi na ukaona unaweza kulimudu kila la khery
 
Naenda moja kwa moja kwenye maada.

Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa.
Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine.
Mzazi mwenzangu mwenye watoto watatu tumetengana rasimi zaidi ya mwaka sasa na aliamua kuniachia watoto na kwenda kuanzisha maisha yake zaidi ya mwaka sasa, awali nilitegemea kuwa huyu mama mwenye mtoto mmoja angeweza kuwatunza na kuwajali hawa watt watatu lakini imekuwa tofauti. Lakini pia amekuwa akilazimisha na yeye awe na watoto watatu kama mwenzie jambo ambalo kwangu limekuwa gumu. kiufupi siwezi kuongeza watoto zaidi ya hawa wanne niliojaliwa wanatosha. Huyu mzazi mwenye mtoto mmoja nae ameamua kuondoka nae tumetengana rasimi kwa sababu matakwa yetu yametofautiana na yeye pia ameacha mtoto kwangu.
Hivyo kwa sasa nina watoto wanne ndani ya nyumba yangu. Miaka 8 mmoja, miaka 6 mmoja na miaka 2.5 wawili.

Baada kutafakari sana, nimefikiria vitu mhimu viwili
Kwanza kuwalea na kuwatunza hawa watoto kama ilivyo dhamira yangu toka awali bila kupitia changamoto yoyote
Pili, mimi mwenyewe kupata rafiki, mfariji na mshauri ambae muda mwingi atakuwa pembeni yangu. Hapa tendo la ndoa ni mhimu sana kwangu maana kuna wakati linapunguza makasiriko.

Sharti moja pekee nililonalo kwa mwanamke huyu nje sharti la kwanza la kuwa tasa, nahitaji awe mama mlezi, awapende na kuwajali watoto wangu (ingawa najua hii ni ngumu sana ila naomba Mungu anisaidie iwezekane), umri wake uwe chini miaka 30 ila asipungue 24.

Jukumu na malengo yangu niliyojiwekea sasa yametimia, lengo la kwanza ilikuwa kupata watoto, lengo la pili sasa naanza kutafuta hela.

Naweka angalizo kwa mwanamke alie tayari, sihitaji mtoto tena.

Kama una ndugu, dada, rafiki au jirani naomba karibu sana kwenye DM yangu.

Lakin pia nakaribisha ushauri kutoka kwenu wanajukwaa.
Mwisho
unatafuta beki tatu ambae utakua una mgegeda
 
Kiufupi unatafuta dada wa kazi.
 
Selfishness isn’t always loud — sometimes, it's just someone choosing themselves first
Na hakuna ubaya kwene Hilo deep down kila mtu ana self love
 
Wa wawili wa mwisho wote wako na 2.5 years eeeh, na ni wa mama tofauti! 🤔🤔🤔🤔🤔
Kumbe ndio maana wa kwanza alikuacha🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

Acha mahangaiko, wewe lea tu watoto wako.
 
Naenda moja kwa moja kwenye maada.

Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa.
Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine.
Mzazi mwenzangu mwenye watoto watatu tumetengana rasimi zaidi ya mwaka sasa na aliamua kuniachia watoto na kwenda kuanzisha maisha yake zaidi ya mwaka sasa, awali nilitegemea kuwa huyu mama mwenye mtoto mmoja angeweza kuwatunza na kuwajali hawa watt watatu lakini imekuwa tofauti. Lakini pia amekuwa akilazimisha na yeye awe na watoto watatu kama mwenzie jambo ambalo kwangu limekuwa gumu. kiufupi siwezi kuongeza watoto zaidi ya hawa wanne niliojaliwa wanatosha. Huyu mzazi mwenye mtoto mmoja nae ameamua kuondoka nae tumetengana rasimi kwa sababu matakwa yetu yametofautiana na yeye pia ameacha mtoto kwangu.
Hivyo kwa sasa nina watoto wanne ndani ya nyumba yangu. Miaka 8 mmoja, miaka 6 mmoja na miaka 2.5 wawili.

Baada kutafakari sana, nimefikiria vitu mhimu viwili
Kwanza kuwalea na kuwatunza hawa watoto kama ilivyo dhamira yangu toka awali bila kupitia changamoto yoyote
Pili, mimi mwenyewe kupata rafiki, mfariji na mshauri ambae muda mwingi atakuwa pembeni yangu. Hapa tendo la ndoa ni mhimu sana kwangu maana kuna wakati linapunguza makasiriko.

Sharti moja pekee nililonalo kwa mwanamke huyu nje sharti la kwanza la kuwa tasa, nahitaji awe mama mlezi, awapende na kuwajali watoto wangu (ingawa najua hii ni ngumu sana ila naomba Mungu anisaidie iwezekane), umri wake uwe chini miaka 30 ila asipungue 24.

Jukumu na malengo yangu niliyojiwekea sasa yametimia, lengo la kwanza ilikuwa kupata watoto, lengo la pili sasa naanza kutafuta hela.

Naweka angalizo kwa mwanamke alie tayari, sihitaji mtoto tena.

Kama una ndugu, dada, rafiki au jirani naomba karibu sana kwenye DM yangu.

Lakin pia nakaribisha ushauri kutoka kwenu wanajukwaa.
Mwisho

SASA HAPO OLEWA WEWE USHIKE MIMBA NA KUZAA KWA NIABA YAKE.. KWA NINI WANAWAKE MNARUHUSIWA SIKU HIZI KUOANA?
 
Una dharau, majigambo na kibri, huwezi kuvumilika zaidi umuitishe mzazi wako kama hana mume wake alee wajukuu zake hapo kwako
 
Back
Top Bottom