Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

Sio vibaya ukisema unatafuta mwenza lakini hutaki tena kuzaa, kutumia neno mwanamke tasa haipendezi
 

Ushauri wa Bure;

Lea watoto, tafuta girl friend, unaenda kuleta stress tu!
 
Mkuu Arch Barrel tuliza akili tafuta mjane mwenye watoto kama wawili hivi au zaidi, then unga nae urafiki wa kimapenzi then mlisongeshe. Kwa uzoefu wangu, hawa wametulia na wengi wao wenye akili hawana malengo yakuzaa tena na wanaombaga Mungu wapate wanaume wakuwaliwaza na kuwashauri mambo mbalimbali ya msingi yahusuyo malezi ya watoto na maendeleo. Kilalaheri mkuu...
 
πŸ‘‰hongera una uzao imara,

πŸ‘‰ Kwann usikae ukawalea wanao mwenyw? Mfano huyo wa miaka nane na sita ni wakati wa kuwaelekeza kazi kama kufagia, kuosha nyumba, kazi ndogo ndogo, kuwaogesha wadogo zao,

πŸ‘‰Unajua madhara ya mwanamke kulea watoto wa mwanamke mwingine? Asilimia kubwa watoto watapitia mateso na wewe kujifanya hujui na mwishoni kuwaletea watoto trauma zikazozalisha chuki, visasi na ubinafsi dhidi yako

πŸ‘‰Ukiona majukumu mengi tafuta housegirl akulelee wanao, Ila hapa ni ngumu kwake na kwako hasa mkianza kutamaniana kingono, mazoea yatazidi kazi itaharibika

πŸ‘‰ Mwishoni kaa chini angalia future yako binafsi kama baba, na mwanaume na watoto wako kabla ya kuongeza kiumbe ke, ukipata majibu sahihi na ukaona unaweza kulimudu kila la khery
 
Kila mtoto namama ake haya ndio madhara yake
 
unatafuta beki tatu ambae utakua una mgegeda
 
Kiufupi unatafuta dada wa kazi.
 
Selfishness isn’t always loud β€” sometimes, it's just someone choosing themselves first
Na hakuna ubaya kwene Hilo deep down kila mtu ana self love
 
Wa wawili wa mwisho wote wako na 2.5 years eeeh, na ni wa mama tofauti! πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Kumbe ndio maana wa kwanza alikuachaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ

Acha mahangaiko, wewe lea tu watoto wako.
 


SASA HAPO OLEWA WEWE USHIKE MIMBA NA KUZAA KWA NIABA YAKE.. KWA NINI WANAWAKE MNARUHUSIWA SIKU HIZI KUOANA?
 
Una dharau, majigambo na kibri, huwezi kuvumilika zaidi umuitishe mzazi wako kama hana mume wake alee wajukuu zake hapo kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…