Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

Nipo hapa mkuu.ila sio tasa nimemaliza kuzaa! Sihitaji tena mtotomakazi Kanda ya ziwa😞!
Wanangu hawatakutegemea ..
 
Reactions: Ntu
Una dharau, majigambo na kibri, huwezi kuvumilika zaidi umuitishe mzazi wako kama hana mume wake alee wajukuu zake hapo kwako
Dharau zipi mkuu, kusema ukweli ndio dharau?
 
Ushauri wenye busara ndani yake:
1.Mrudishe huyo mama mwenye mtoto mmoja ila Sasa hivi atakuja na kakiburi au ikiwezekana pambana mama mwenye watoto watatu arudi Ili uhangaikie Mali na sio mapenzi tena.

2. Ikishindikana kabisa bint yoyote utakaye mpata kubali tu azae Ili aone naye ni sehemu ya hio familia ila hapa zengendembwe nyingi zitakupata
 
unatafuta mfanyakazi wa kazi za ndani kwa kisingizio cha mke sidhani kama utapata labda uchukue ndugu yako anaweza kumudu hivyo vigezo na masharti i.e kazi plus mbususu bure.
 
24-30 ni umri mtu yuko very fertile anatafuta mtoto bado hajakata tamaa labda utafute tu Yaya wakulea watoto ila tasa kwa miaka hyo sio rahisi kumpata
 
Nipo hapa mkuu.ila sio tasa nimemaliza kuzaa! Sihitaji tena mtotomakazi Kanda ya ziwa😞!
Wanangu hawatakutegemea ..
Sasa Mrs Byesige mbona kama unamtafutia shida huyu mwamba?

Hilo li Byesige na hiyo sura yake ya kazi likija kufanya fumanizi huyu jamaa nyara za serikali ya sisiemu atabaki nazo kweli?
 
Mbona jamaa yuko open, shida iko wapi? Ameshajua mwanamke wa kawaida atataka watoto wake, na yeye hataki kuongeza watoto. Ndio maana kasema anataka tasa. Kuna ambao wameshathibitishwa kuwa hawawezi kuzaa, hii ni opportunity nzuri
 
Haijarishi utatumia mbini gani lakini akitaka mgawane hizo mali bado mtagawana tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…