Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

Hii 10% sio mbaya hata benki mtu haipati hii faida akiweka hela mwaka mzima kwa 10m.

Pia wewe umeweka security kwa investors(yaani hapotezi lolote hata iweje).

Ila kwa investors mwenye ku take risk anaona hii 10% ndogo sana.
Ni kweli nipo tayari kujifunza zaidi lakin siwezi zidisha hapo kwa mwaka wa kwanza,

Acha tuone Mambo yataendaje
Kheri itapatikana tu
 
Mi sijui hesabu za biashara na uchumi.
Ila niliona kwasababu wewe umepambania brand basi hiyo 10% ya annual profit iwe kwa mwaka wa kwanza then m waka unaofuata ipande iwe 15% kama asipojitoa mwekezaji...
Nadhani alipotaja machinery maanake ni asset ambazo zitaweza cover liabilities zote ikiwemo madeni kwahy suala la makubaliano na naona ni business nzuri ambyo hata mm binafsi npo tyr kuwa investor at its standing point Ila sio kwa kuchukua overall 10%

Sent from my 21051182G using JamiiForums mobile app
 
Hii 10% sio mbaya hata benki mtu haipati hii faida akiweka hela mwaka mzima kwa 10m.

Pia wewe umeweka security kwa investors(yaani hapotezi lolote hata iweje).

Ila kwa investors mwenye ku take risk anaona hii 10% ndogo sana.
Lakini amesema hiyo 10% ni jumla ya faida yote ya mwaka, maanake kama imetengenezwa faida ya 100mil una mil 10 yako huku mtaji ukiwa pale pale na ww waka hujishughulishi na hiyo biashara unafanya mambo yako tu....! Sio mbaya
 
Asante kwa kunielewa mkuu
 
kwa Investment ya 10M ambayo unaweka una assurance ya kupata 25%+ profit ya 10 M yako hela ambayo hakuna benki wala UTT watakupa
Hapa umedadavua vizuri boss, nafikiri hapa issue kubwa itakuwa kuogopa risks!
Kila heri sana! Nakuona kwenye next level.

BTW, huwezi kutafuta alternative ya kukopa kwenye financial institutions?
 
Nice presentation all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…