Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
- Thread starter
- #81
Safi sanaHii Model pia nimeanza kuitumia naona itanisaidia kwenye industry yangu.
Mapambano yaendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sanaHii Model pia nimeanza kuitumia naona itanisaidia kwenye industry yangu.
Hii ndio changamoto y wasomi wasio fanyia kazi elimu zao. Naomba nikutoe shaka nasema PIGA KAZI.Pia huyu anaonekana maisha yamemchapa uko. Kanyaga twende tumechelewa mnooYaani nimeshageuka mwizi? Naomba futa hiyo kauli ili twende vizuri
Nipo tayari kujifunza lakin sio kwakuniita MWIZI
Kweli mkuu waswahili wanasema raha ya ngoma uingie ucheze, biashara za kwenye makaratasi wanaona rahisi sanaHii ndio changamoto y wasomi wasio fanyia kazi elimu zao. Naomba nikutoe shaka nasema PIGA KAZI.Pia huyu anaonekana maisha yamemchapa uko. Kanyaga twende tumechelewa mnoo
Umezungumza vitu vingi ila revenue hujagusia kabisa.Heshima kwenu wakuu,
Ninahitaji mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi ni kiwanda kidogo kinachojihusisha na uzalishaji wa bidhaa za urembo Mafuta, sabuni, lotions, scrubs, serums nk
Biashara imesajiliwa na mamlaka zote na inajiendesha kihalali
Thamani ya biashara kwa sasa ni 20m
Ambayo inajumuisha machines na working capital
Uhai wa biashara ni miaka miwili na kuna feedback nzuri sana za wateja
Wateja
Tunatumia social media (duka mtandao)
Beauty botiques
Machinga (kkoo hawa tunawasambazia sabuni)
mawakala wa mikoani na nchi jirani (Congo,Malawi na Zambia)
Nahitaji mwekezaji awekeze 10m ambayo itaingia kwenye working capital na mwekezaji atapata 10% equity share huku mtaji wake ukiwa upo pale pale na endapo akaamua kusitisha mkataba atarudishiwa pesa yake kulingana na muda tutakao kubaliana
NB: 10% ni ownership, profit split ni annualy ambapo mwenye ownership ya 10% atapata 10% of the profit generated annualy.
Mwekezaji atakuwa mjumbe wa bodi pia kushiriki vikao vya bodi ya washauri tunavyofanya Kila baada ya miezi mitatu pia atapata access ya taarifa zote za biashara (sales,purchase,transactions and contracts) muda wowote atakaohitaji
Biashara ina team ya watu 6 na mawakala zaidi ya 20
Kwa ambae atakuwa interested
Karibu whatsapp 0769922210 nikutumie company profile,pitch deck,pitch video na financial reports za mwaka 2022-2023
Pia napokea appointment za meeting za ana kwa ana ofisini kwetu au zoom meeting kwa waliombali
Niwatakie mapumziko mema ya juma
Revenue ipo ndani ya financial reportsUmezungumza vitu vingi ila revenue hujagusia kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkataba wa diiPee tena.Mkuu niko na swali la mwisho je huo mkataba utakuwa wa permanent kama DP world au ni wa muda gani?
Kitu kingine naomba tuchekiane pm tupeane contacts ili anytime mgodi ukitema nakuwa nishapata sehemu ya kuwekeza.
Pesa kama hizi tulizichezea siku za nyuma kwa kutopata watu potential kama wewe.
God Bless you.
Naomba nije tu PM mkuu tuyajengeMkuu niko na swali la mwisho je huo mkataba utakuwa wa permanent kama DP world au ni wa muda gani?
Kitu kingine naomba tuchekiane pm tupeane contacts ili anytime mgodi ukitema nakuwa nishapata sehemu ya kuwekeza.
Pesa kama hizi tulizichezea siku za nyuma kwa kutopata watu potential kama wewe.
God Bless you.
Asante sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkataba wa diiPee tena.
Lazima kuna agreements nadhan as kampuni inatoa equity investment inaweza kua kwa muda kias chake probably 5years etc,. Mwenyewe anajua zaidi msubiri.
Bank wana Riba,Kwa hii idea. Nenda bank kuna dirisha la wajasiliamali wadogo.
Nenda na financial report zote.
Naona hii itakuwa njia sahihi.
Bank wana Riba,
Imani yangu inanibana mno kwenye riba
Asante kwa ushauri mkuu
Hapana sio riba,akiwekeza anakuwa mmiliki Wa Biashara na Yeye,na ndio maana tunachogawana ni faida, nikama yeye katoa mtaji sisi tumefanya kaziJane!? How imani plus Riba? Kwani mtu akiwekeza si anapewa hio 10% (hio si sawa na riba)? Au shida kuitwa riba?
Any way kila la heri.
Hapana sio riba,akiwekeza anakuwa mmiliki Wa Biashara na Yeye,na ndio maana tunachogawana ni faida, nikama yeye katoa mtaji sisi tumefanya kazi
Addition
Addition
10% anayochukua ni faida iliyokuwa generated sio 10% ya ela yake
Nadhani tunahitaji elimu ya fedha zaidiNajua. Najua pia ugumu wa mtu mwenye mtaji kuweka imani tu na kukupa huo mtaji. Kama ni mwislamu nenda NBC wana service zinazofuata misingi hio, islamic banking.
Nadhani tunahitaji elimu ya fedha zaidi
Keep digging ndugu yangu utakuja kunielewa mbele ya safari
Kuhusu mtu kuamini, kama wewe huwezi basi jua wapo wanaoweza,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikajijumuisha kuwa tunahitaji kama wewe elimu uliyonayo inakutosha to me i still need,If it was that simple ungeshakuwa umepata. Hio elimu ya fedha unayozungumzia ni ipi!! So unazani unaelimu hio kunizidi mimi! Im not sure. 10m ni hela ndogo sana and yet unakuja kuomba mwekezaji JF. Tunakupa options unaleta dharau eti elimu ya fedha. Fyi hata ungehitaji 50m ipo under my capacity lakini najua biashara haifanyiki hivo.
Unless una motive tofauti na uwekezaji.
Kila la kheri.
Niuzie biashara nzima kwa 10mil halafu wewe nikufanye CEO niwe nakulipa 1mil per month.Heshima kwenu wakuu,