Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

Mkuu nahisi wewe ni mtani wangu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜
Wala my dear siwezi kukufanyia matani

Najua kama thamani ya biashara ni 20mil itakua inflated sana,nikaona 10mil ni fair

Na pia brand name ni kali inajulikana ya hivyo vipodozi?

Niuzie kila kitu na mashine na kila kitu na wewe know how yako na kila kitu,tumalize,documaa na designs zote na kila kitu

Tumalize

Ntakufanya CEO kwa 2 years,1.5mil per month

Vipodozi nimeona kila mdada anafanya,hata perfume production,too much competition,mi nataka scaling up tu hata nikiwa napata senti per unit sio mbaya
 
Hapana mkuu siwezi uza hata iweje, kweli nina uhitaji wa scalling lakin hata mashines zinazidi hiyo 10m

Chakukushauri anzisha na wewe mkuu kwa hiyo 10m yako

1m branding
2m machines ndogo ndogo
5m working capital
800k registrations
300k kodi
500k matangazo
400k unanunua formulations
 
Sikiliza

Wewe nikuachie 10% stake uwe na say na pia uwe unapata 10% ya profits

Hizi kazi unazijua?Umesomea au umejifunzia wapi?

Maana usikute ulichungulia kwa mtu hata kachupa kamoja hujatoa

Huku America chuo kikuu kuna degree zake tena wanasoma hadi masomo ya Chemical Engineering,Product Design Engineering,Branding,Cosmetics Engineering,etc

Ulisomea?
 
mkuu naona unanifanyia dharau na kudharau biashara yangu pia, nimeweka mchanganuo vizuri ya biashara yangu, working capital ni 8m,machines ni 12m,nina staffs 6

Kweli ununue hii biashara kwa 10m?
Hata kama JF mkikaa nyuma ya keyboards mnajiamini kupita wenzenu lakin this is too much

hivyo vyuo ulivyovitaja vyote sijasoma na mimeeleza ni biashara ambayo ipo sokoni na feedbacks pia zipo
 
mkuu naona unanifanyia dharau na kudharau biashara yangu pia, nimeweka mchanganuo vizuri ya biashara yangu, working capital ni 8m,machines ni 10m,nina staffs 6

Kweli ununue hii biashara kwa 10m?
Hata kama JF mkikaa nyuma ya keyboards mnajiamini kupita wenzenu lakin this is too much

hivyo vyuo ulivyovitaja vyote sijasoma na mimeeleza ni biashara ambayo ipo sokoni na feedbacks pia zipo
Jane usiwe emotional hivi

Mnunuzi hua anashusha bei anavyotaka na wewe unapandisha unavyotaka,hakuna haja ya kua emotional namna hii

Im sorry kama umechukulia the wrong way.

I can understand founders hua wana emotional attachments na biashara zao,I can understand that.

Kwa mfano wewe kuuza outright buy unaona ni kiasi gani unaweza chukua?

Usikasirike bana,ni biashara hua hazigombi
 
Huko juu nimejieleza vya kutosha tu na lengo lilikuwa ni kuuza 10% tu
sasa mtu anapokuja anakushusha kiasi unaona sasa kwanini anidharau hivi.
Anyway asante kwa muda wako
 
Kwa sababu biashara ilishaanza tayari, nakupa plan B kwa sababu ni vigumu sisi watu weusi kuwekeza huko; wengi huwa tuna hisia za kupoteza.

Unaweza kuchukua malighafi na vifungashio kwa 'credit' hii itategemeana na uaminifu mliojijengea kwa wahusika; ikiwezekana muingie nao ubia kama 'joint venture' ili kupunguza changamoto za kifedha katika kupata hayo mahitaji.​
 
Asante sana mkuu ntajitahidi kuangalia panapowezekana
Kwenye hizi raw materials zinazopatikana Tanzania, tunafanya ila sio zote maana zingine unakuwa supplier muhindi na hawa jamaa kutuamini ni ngumu,lakin shukran ntajitahidi ninapoweza
 
Naomba kuuliza. Thamani ya biashara ni 20m, mwekezaji anaweka 10m, kwa nini awe na 10% share badala ya 50% share?
Haiwezi kuwa 50%, wala 10%. Ila PSR (Profit Sharing Ratio) inakuwa hivi: Patner A 20m+Partner B 10m=30m, then PSR for A ni (20/30) Γ—100%= 60%, then PSR ya B ni (10/30)Γ—100%=40%. That is how you are going to share @ Business Partner
 
Valuation ya biashara haipimwi kwa thamani ya mtaji wa biashara pekee.

Kuna trust ya brand kwa wateja ambayo tumeijenga for years now, biashara bado ina long run siwezi uza 50% kwa 10m mkuu

NB: Y combinator wanatoa $500k kwa startups in exchange of 10% equity share tena zingine zikiwa in ideation stage
Unless you show us the valuation of Goodwill
 
Valuation ya biashara haipimwi kwa thamani ya mtaji wa biashara pekee.

Kuna trust ya brand kwa wateja ambayo tumeijenga for years now, biashara bado ina long run siwezi uza 50% kwa 10m mkuu

NB: Y combinator wanatoa $500k kwa startups in exchange of 10% equity share tena zingine zikiwa in ideation stage
Wewe dada una akili nyingi sanaaa nakuona mbali sana!
 
Hongera kwa kupambana,km bado hujapata mtu tunaweza kufanya kitu kuanzia mwezi wa kwanza mwakani,,,ukipata nafasi tuwasiliane kupitia namba hii 0765348572
 
Back
Top Bottom