Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
- Thread starter
- #101
Mkuu nahisi wewe ni mtani wanguNiuzie biashara nzima kwa 10mil halafu wewe nikufanye CEO niwe nakulipa 1mil per month.
πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nahisi wewe ni mtani wanguNiuzie biashara nzima kwa 10mil halafu wewe nikufanye CEO niwe nakulipa 1mil per month.
Wala my dear siwezi kukufanyia mataniMkuu nahisi wewe ni mtani wangu
πππππ
Hapana mkuu siwezi uza hata iweje, kweli nina uhitaji wa scalling lakin hata mashines zinazidi hiyo 10mWala my dear siwezi kukufanyia matani
Najua kama thamani ya biashara ni 20mil itakua inflated sana,nikaona 10mil ni fair
Na pia brand name ni kali inajulikana ya hivyo vipodozi?
Niuzie kila kitu na mashine na kila kitu na wewe know how yako na kila kitu,tumalize,documaa na designs zote na kila kitu
Tumalize
Ntakufanya CEO kwa 2 years,1.5mil per month
Vipodozi nimeona kila mdada anafanya,hata perfume production,too much competition,mi nataka scaling up tu hata nikiwa napata senti per unit sio mbaya
SikilizaHapana mkuu siwezi uza hata iweje, kweli nina uhitaji wa scalling lakin hata mashines zinazidi hiyo 10m
Chakukushauri anzisha na wewe mkuu kwa hiyo 10m yako
1m branding
2m machines ndogo ndogo
5m working capital
800k registrations
300k kodi
500k matangazo
400k unanunua formulations
mkuu naona unanifanyia dharau na kudharau biashara yangu pia, nimeweka mchanganuo vizuri ya biashara yangu, working capital ni 8m,machines ni 12m,nina staffs 6Sikiliza
Wewe nikuachie 10% stake uwe na say na pia uwe unapata 10% ya profits
Hizi kazi unazijua?Umesomea au umejifunzia wapi?
Maana usikute ulichungulia kwa mtu hata kachupa kamoja hujatoa
Huku America chuo kikuu kuna degree zake tena wanasoma hadi masomo ya Chemical Engineering,Product Design Engineering,Branding,Cosmetics Engineering,etc
Ulisomea?
Jane usiwe emotional hivimkuu naona unanifanyia dharau na kudharau biashara yangu pia, nimeweka mchanganuo vizuri ya biashara yangu, working capital ni 8m,machines ni 10m,nina staffs 6
Kweli ununue hii biashara kwa 10m?
Hata kama JF mkikaa nyuma ya keyboards mnajiamini kupita wenzenu lakin this is too much
hivyo vyuo ulivyovitaja vyote sijasoma na mimeeleza ni biashara ambayo ipo sokoni na feedbacks pia zipo
Huko juu nimejieleza vya kutosha tu na lengo lilikuwa ni kuuza 10% tuJane usiwe emotional hivi
Mnunuzi hua anashusha bei anavyotaka na wewe unapandisha unavyotaka,hakuna haja ya kua emotional namna hii
Im sorry kama umechukulia the wrong way.
I can understand founders hua wana emotional attachments na biashara zao,I can understand that.
Kwa mfano wewe kuuza outright buy unaona ni kiasi gani unaweza chukua?
Usikasirike bana,ni biashara hua hazigombi
wala sijakushushua,pole kwa kukusababishia disturbances.Huko juu nimejieleza vya kutosha tu na lengo lilikuwa ni kuuza 10% tu
sasa mtu anapokuja anakushusha kiasi unaona sasa kwanini anidharau hivi.
Anyway asante kwa muda wako
Asante kwa maoni yakowala sijakushushua,pole kwa kukusababishia disturbances.
sorry,fo'real!
Asante sana mkuu ntajitahidi kuangalia panapowezekanaKwa sababu biashara ilishaanza tayari, nakupa plan B kwa sababu ni vigumu sisi watu weusi kuwekeza huko; wengi huwa tuna hisia za kupoteza.
Unaweza kuchukua malighafi na vifungashio kwa 'credit' hii itategemeana na uaminifu mliojijengea kwa wahusika; ikiwezekana muingie nao ubia kama 'joint venture' ili kupunguza changamoto za kifedha katika kupata hayo mahitaji.
Haiwezi kuwa 50%, wala 10%. Ila PSR (Profit Sharing Ratio) inakuwa hivi: Patner A 20m+Partner B 10m=30m, then PSR for A ni (20/30) Γ100%= 60%, then PSR ya B ni (10/30)Γ100%=40%. That is how you are going to share @ Business PartnerNaomba kuuliza. Thamani ya biashara ni 20m, mwekezaji anaweka 10m, kwa nini awe na 10% share badala ya 50% share?
Unless you show us the valuation of GoodwillValuation ya biashara haipimwi kwa thamani ya mtaji wa biashara pekee.
Kuna trust ya brand kwa wateja ambayo tumeijenga for years now, biashara bado ina long run siwezi uza 50% kwa 10m mkuu
NB: Y combinator wanatoa $500k kwa startups in exchange of 10% equity share tena zingine zikiwa in ideation stage
Its noncece qnNaomba kuuliza. Thamani ya biashara ni 20m, mwekezaji anaweka 10m, kwa nini awe na 10% share badala ya 50% share?
Wewe dada una akili nyingi sanaaa nakuona mbali sana!Valuation ya biashara haipimwi kwa thamani ya mtaji wa biashara pekee.
Kuna trust ya brand kwa wateja ambayo tumeijenga for years now, biashara bado ina long run siwezi uza 50% kwa 10m mkuu
NB: Y combinator wanatoa $500k kwa startups in exchange of 10% equity share tena zingine zikiwa in ideation stage
AmenWewe Dada Mungu akubariki sanaaa
Sawa mkuu na sisi malengo yetu ilikuwa kuanza JanuaryHongera kwa kupambana,km bado hujapata mtu tunaweza kufanya kitu kuanzia mwezi wa kwanza mwakani,,,ukipata nafasi tuwasiliane kupitia namba hii 0765348572