Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

Yaani nimeshageuka mwizi? Naomba futa hiyo kauli ili twende vizuri

Nipo tayari kujifunza lakin sio kwakuniita MWIZI
Hii ndio changamoto y wasomi wasio fanyia kazi elimu zao. Naomba nikutoe shaka nasema PIGA KAZI.Pia huyu anaonekana maisha yamemchapa uko. Kanyaga twende tumechelewa mnoo
 
Hii ndio changamoto y wasomi wasio fanyia kazi elimu zao. Naomba nikutoe shaka nasema PIGA KAZI.Pia huyu anaonekana maisha yamemchapa uko. Kanyaga twende tumechelewa mnoo
Kweli mkuu waswahili wanasema raha ya ngoma uingie ucheze, biashara za kwenye makaratasi wanaona rahisi sana
 
Umezungumza vitu vingi ila revenue hujagusia kabisa.
 
Mkuu niko na swali la mwisho je huo mkataba utakuwa wa permanent kama DP world au ni wa muda gani?
Kitu kingine naomba tuchekiane pm tupeane contacts ili anytime mgodi ukitema nakuwa nishapata sehemu ya kuwekeza.
Pesa kama hizi tulizichezea siku za nyuma kwa kutopata watu potential kama wewe.
God Bless you.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkataba wa diiPee tena.

Lazima kuna agreements nadhan as kampuni inatoa equity investment inaweza kua kwa muda kias chake probably 5years etc,. Mwenyewe anajua zaidi msubiri.
 
Naomba nije tu PM mkuu tuyajenge

Amen, I receive
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkataba wa diiPee tena.

Lazima kuna agreements nadhan as kampuni inatoa equity investment inaweza kua kwa muda kias chake probably 5years etc,. Mwenyewe anajua zaidi msubiri.
Asante sana mkuu
 
Bank wana Riba,
Imani yangu inanibana mno kwenye riba

Asante kwa ushauri mkuu

Jane!? How imani plus Riba? Kwani mtu akiwekeza si anapewa hio 10% (hio si sawa na riba)? Au shida kuitwa riba?
Any way kila la heri.
 
Jane!? How imani plus Riba? Kwani mtu akiwekeza si anapewa hio 10% (hio si sawa na riba)? Au shida kuitwa riba?
Any way kila la heri.
Hapana sio riba,akiwekeza anakuwa mmiliki Wa Biashara na Yeye,na ndio maana tunachogawana ni faida, nikama yeye katoa mtaji sisi tumefanya kazi
 
Addition
10% anayochukua ni faida iliyokuwa generated sio 10% ya ela yake

Najua. Najua pia ugumu wa mtu mwenye mtaji kuweka imani tu na kukupa huo mtaji. Kama ni mwislamu nenda NBC wana service zinazofuata misingi hio, islamic banking.
 
Najua. Najua pia ugumu wa mtu mwenye mtaji kuweka imani tu na kukupa huo mtaji. Kama ni mwislamu nenda NBC wana service zinazofuata misingi hio, islamic banking.
Nadhani tunahitaji elimu ya fedha zaidi
Keep digging ndugu yangu utakuja kunielewa mbele ya safari

Kuhusu mtu kuamini, kama wewe huwezi basi jua wapo wanaoweza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani tunahitaji elimu ya fedha zaidi
Keep digging ndugu yangu utakuja kunielewa mbele ya safari

Kuhusu mtu kuamini, kama wewe huwezi basi jua wapo wanaoweza,

Sent using Jamii Forums mobile app

If it was that simple ungeshakuwa umepata. Hio elimu ya fedha unayozungumzia ni ipi!! So unazani unaelimu hio kunizidi mimi! Im not sure. 10m ni hela ndogo sana and yet unakuja kuomba mwekezaji JF. Tunakupa options unaleta dharau eti elimu ya fedha. Fyi hata ungehitaji 50m ipo under my capacity lakini najua biashara haifanyiki hivo.
Unless una motive tofauti na uwekezaji.
Kila la kheri.
 
Ndio maana nikajijumuisha kuwa tunahitaji kama wewe elimu uliyonayo inakutosha to me i still need,
Kuhusu kuja JF wala isikusumbue mkuu kama watu wanapata hadi life partners humu kwanini mimi nisipate business investor?
biashara ni mapambano pia hongera sana na wewe
 
Niuzie biashara nzima kwa 10mil halafu wewe nikufanye CEO niwe nakulipa 1mil per month.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…