Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

Ni kweli kabisa tofauti kabisa na huku Ulaya
Nakumbuka kuna kampuni nilifanya kazi mwaka 92
Ilikuwa mpya baada ya miaka 2 tu kazini boss akaniita ofisini akaniambia kama unataka kuwekeza kwenye kampuni huu ndio muda muafaka
Hanijui simjui
Huku ni kawaida sana mtu kukupa shares katika kampuni kama anakuona ni muaminifu na huna makuu
Ila nyumbani ni tofauti
Mtu anataka atoboe peke yake
 
Uko on the right track Madam, umenikosha sana kwenye msimamo wako wa riba.. all the best.

Hope to cross paths someday, will support u kununua bidhaa zenu most def
 
ubinafsi ni mbaya sana sana lakin kizazi baada ya sisi watakuwa vzr
 
Uko on the right track Madam, umenikosha sana kwenye msimamo wako wa riba.. all the best.

Hope to cross paths someday, will support u kununua bidhaa zenu most def
Asante sana
karibu ndugu yangu
cant wait to serve you.....
 
Hongera sana, na kila la kheri!
 
Hujaelewa kitu, hii ni pitch yake, wewe unaweka kumake your offer na yeye akaangalia kwa upande wake mkakubalina...nadhani ameacha room for direct contact...sio poa kuanza kushambulia tu akati unajua haiwezekani kuandika kila kitu kwenye post moja, go inbox. All in all best pitch ever...
 
asante sana mkuu watu wakikaa nyuma ya keyboards basi wanajiona wanajua kila kitu waswahili husema raha ya ngoma uingie ucheze wanadhani ni rahisi hivyo hawajiulizi ndo maana wengi wanapigwa kupewa ofa nzuri ili akuvute uweke hela then the rest is Mr Kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…