Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ni kweli kabisa tofauti kabisa na huku UlayaNadhani sio utamaduni wetu kufanya kazi kwa ku share in % wengi wamezoea kuanzisha pamoja hasa muwe ndugu kwa kigezo cha kuwa unamjua inside out lakin hao hao ndugu wanakumaliza vile vile
pia wengi waoga wakupoteza hata senti kwenye biashara kupoteza pesa ni kawaida kikubwa umepotezaje
ndo mana risk takers mara nyingi wana tusua
Eg. Drag dealers and the likes, biashara zao ni kufa kupona wanajitoa kweli kweli kweli ndo mama wakifanikiwa inaluwa booom
Nakumbuka kuna kampuni nilifanya kazi mwaka 92
Ilikuwa mpya baada ya miaka 2 tu kazini boss akaniita ofisini akaniambia kama unataka kuwekeza kwenye kampuni huu ndio muda muafaka
Hanijui simjui
Huku ni kawaida sana mtu kukupa shares katika kampuni kama anakuona ni muaminifu na huna makuu
Ila nyumbani ni tofauti
Mtu anataka atoboe peke yake