Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

Nadhani sio utamaduni wetu kufanya kazi kwa ku share in % wengi wamezoea kuanzisha pamoja hasa muwe ndugu kwa kigezo cha kuwa unamjua inside out lakin hao hao ndugu wanakumaliza vile vile

pia wengi waoga wakupoteza hata senti kwenye biashara kupoteza pesa ni kawaida kikubwa umepotezaje

ndo mana risk takers mara nyingi wana tusua

Eg. Drag dealers and the likes, biashara zao ni kufa kupona wanajitoa kweli kweli kweli ndo mama wakifanikiwa inaluwa booom
Ni kweli kabisa tofauti kabisa na huku Ulaya
Nakumbuka kuna kampuni nilifanya kazi mwaka 92
Ilikuwa mpya baada ya miaka 2 tu kazini boss akaniita ofisini akaniambia kama unataka kuwekeza kwenye kampuni huu ndio muda muafaka
Hanijui simjui
Huku ni kawaida sana mtu kukupa shares katika kampuni kama anakuona ni muaminifu na huna makuu
Ila nyumbani ni tofauti
Mtu anataka atoboe peke yake
 
Uko on the right track Madam, umenikosha sana kwenye msimamo wako wa riba.. all the best.

Hope to cross paths someday, will support u kununua bidhaa zenu most def
 
ubinafsi ni mbaya sana sana lakin kizazi baada ya sisi watakuwa vzr
 
Uko on the right track Madam, umenikosha sana kwenye msimamo wako wa riba.. all the best.

Hope to cross paths someday, will support u kununua bidhaa zenu most def
Asante sana
karibu ndugu yangu
cant wait to serve you.....
 
Hello
nilifanikiwa kwa njia nyingine

baada ya kuona sielewi ofa zao wanazonipa nilikiwa na assets nikauza nika inject kwenye biashara na lile gap halijaonekana tena

projections zinaniambia by December ntahitaji ku inject 20m ili niendane na kasi ya ukuaji ninayoikusudia

na In sha Allah, Kheri itapatikana
Hongera sana, na kila la kheri!
 
Wee acha, thamani ya small industry is 20 mil, alafu mtu awekeze 10 mil, umpe shares 10%, umesomea uwizi huu wapi? Hesabu hata kidogo hujui au unajua umeamua kuficha, na uwekezaji sio eti mtu akiamua kutoa hela zake say 5 yrs from now na capital yenu imekuwa say to 200 mil eti utampa 10 mil yake, sio hivyo, utampa % shares ya value ya hiyo 200 mil ya wakati husika…

Hesabu yako inatakiwa kuwa hivi…

Total capital itakuwa 20 + 10 = 30 mil

So 10 mil shares out of 30 mil is 10 divide by 30

That is 33% of total shares….

So mtu akiwekeza 10 mil, atapata 33% of total shares

Sasa siku akimua kutoka katika biashara say 5 yrs na biashara imekuwa na kufikia 200 mil

Sasa utampa 33% x 200 = 66 mil

So akiweka leo mil 10 yake siku anatoka na miaka kadhaa mbele na biashara imekuwa to 200 mil, mwekezaji atapata 66 mil, sio 10 mil

Hivyo, uwekezaji usifanye kimazoea tu na bila kujua hesabu sahihi za uwekezaji, maana utadhulumu watu.
Hujaelewa kitu, hii ni pitch yake, wewe unaweka kumake your offer na yeye akaangalia kwa upande wake mkakubalina...nadhani ameacha room for direct contact...sio poa kuanza kushambulia tu akati unajua haiwezekani kuandika kila kitu kwenye post moja, go inbox. All in all best pitch ever...
 
asante sana mkuu watu wakikaa nyuma ya keyboards basi wanajiona wanajua kila kitu waswahili husema raha ya ngoma uingie ucheze wanadhani ni rahisi hivyo hawajiulizi ndo maana wengi wanapigwa kupewa ofa nzuri ili akuvute uweke hela then the rest is Mr Kuku
 
Back
Top Bottom