Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

Kwani wakati tunawapiga kono la nyani mvua si ilinyesha tena nyingi kuliko hii lakini mtu jioni akala kono la nyani.
 

Attachments

  • FB_IMG_17092318215078852.jpg
    297.5 KB · Views: 1
Kwanini mchawi akikutana na nguvu za Mungu anaamini uchawi...kweli mchawi hana akili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…