Hivi kwanini ban imeendelea???????!!!
Serikali yenu sikivu bado imeishikilia kama vile inavyomshikilia Lisu...Hivi kwanini ban imeendelea???????!!!
sikivu since when who which???Serikali yenu sikivu bado imeishikilia kama vile inavyomshikilia Lisu...
Hilo nimeliongea sana mimi.Usifunguliwe ndio vizuri
Watu wanapunguza misongo yao bila Ban yani mods ban sio shida zao🤭
Ngoja mnyoshane kidogo...sikivu since when who which???
Wakuninyoosha humu ni weye tu sijaona mwingine!Ngoja mnyoshane kidogo...
Sawa wakishua...Binafsi sinyosheki!
Wakishua since when who which???? Wakunininyoosha humu ni weye tu hakuna mwingineSawa wakishua...
HahahaWakishua since when who which???? Wakunininyoosha humu ni weye tu hakuna mwingine
Hilo walijua vema!Hahaha
Kuamini kuwa mamlaka ziko sawa tu wakati wote na inabidi zibembelezwe kutoa haki ni ufuasi wa kikondoo