MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,812
Nchi ngumu sana hii.
Sio ombi bali ni lazima, hakuna kuomba haki ni kitu cha lazima, unapoomba mana ukubaliwe au ukataliwe, lkn haki haiombwi ni kitu cha lazima.Kheri ya Mwaka Mpya!
1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii.
2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee.
3. Jamiiforum ni moja ya mambo ambayo serikali ya Tanzania inaweza kujivunia kwa wananchi wake.
4. Malumbano, mivutano na migogoro iwe ya kisiasa au kijamii inaweza kuweko lakini isiwe sababu ya kurudisha jitihada na nguvu zinazoipaisha nchi yetu katika Nyanja kama za kiteknolojia na kidijitali.
5. Watu wengi ikiwemo serikali imefaidika na uwepo wa jamiiforum kuanzia kwenye elimu, habari, maarifa na mawazo mapya, ajira, miongoni mwa mambo mengine.
6. JF kupitia anonymous imesaidia serikali na vyombo vya usalama kupata baadhi ya data ambazo ingetumia nguvu nyingi kuzipata.
7. Ingawaje zipo changamoto za kashfa au tuhuma. Lakini suala hilo lisiwe sababu ya kufungiwa kwa mtandao mzima.
8. Naiomba serikali ifungulie mtandao huu. Hakuna haja ya hasira, chuki, kukomoana, kutunishiana misuli. Kuonyeshana ubabe.
9. Ukubwa ni busses, hekima, unyenyekevu kama sehemu ya kuonyesha njia ya Wema na kuwa mfano Bora wa UTU.
10. Mwaka 2026 mwaka wa UTU WA KALE.
11. No hate. One nation one destination.
Mungu awabariki.
Kwa walio Morogoro. Jioni tutakuwa Pale mjini. Kufurahia mwaka 2026.
TaikonMaster
Kwa sasa Soko la Kingalu, Morogoro Mjini
Haki haiombwi, ni kitu cha lazima.Ningeandikaje mkuu?
Wewe mkeo au mtoto wako ukimkosea akata haki yake atakuomba au atakudai kwa njia ipi?
kila biashara inaendeshwa kwa kanuni na vigezo, HAKI ina WAJIBUSema ninaitaka sio ninaiomba,haki yetu haiombwi
likewise huenzi kushindana na serikaliAcha lugha laini ya kubembeleza kaka,wewe unadhani lugha yako hii serikali haramu itakusikiliza???
Wajibu upi ambao JF hawajatimiza? Wewe unatafuta nini kwenye mtandao uliofungiwa na serikali yako fekikila biashara inaendeshwa kwa kanuni na vigezo, HAKI ina WAJIBU
dogo hii ni serikali sio dada wa kazi unamuendesha unavotaka, elewa neno MAMLAKA hivo make sure unajitahidi kutumia busara sehem zoteWajibu upi ambao JF hawajatimiza? Wewe unatafuta nini kwenye mtandao uliofungiwa na serikali yako feki
Hivi mnapotetea kila kitu huwa mnamaanisha nn? Kwahiyo hakuna kitu serikali inakosea? Acheni hiyo tabia, hamjengi mnabomoa.dogo hii ni serikali sio dada wa kazi unamuendesha unavotaka, elewa neno MAMLAKA hivo make sure unajitahidi kutumia busara sehem zote
Nani kakuambia huwezi shindana na serikali haramulikewise huenzi kushindana na serikali
Kwanini uombe ifunguliwe? Walikwambia imefungiwa kwa kosa gani baada ya zile siku 90? Haki haiombwi, kama hawawezi kuitendea haki JF basi waache tutaendelea kuingia kwa VPN na hakuna kitachoharibika. Nchi ya wapumbavu.Kheri ya Mwaka Mpya!
1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii.
2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee.
3. Jamiiforum ni moja ya mambo ambayo serikali ya Tanzania inaweza kujivunia kwa wananchi wake.
4. Malumbano, mivutano na migogoro iwe ya kisiasa au kijamii inaweza kuweko lakini isiwe sababu ya kurudisha jitihada na nguvu zinazoipaisha nchi yetu katika Nyanja kama za kiteknolojia na kidijitali.
5. Watu wengi ikiwemo serikali imefaidika na uwepo wa jamiiforum kuanzia kwenye elimu, habari, maarifa na mawazo mapya, ajira, miongoni mwa mambo mengine.
6. JF kupitia anonymous imesaidia serikali na vyombo vya usalama kupata baadhi ya data ambazo ingetumia nguvu nyingi kuzipata.
7. Ingawaje zipo changamoto za kashfa au tuhuma. Lakini suala hilo lisiwe sababu ya kufungiwa kwa mtandao mzima.
8. Naiomba serikali ifungulie mtandao huu. Hakuna haja ya hasira, chuki, kukomoana, kutunishiana misuli. Kuonyeshana ubabe.
9. Ukubwa ni busses, hekima, unyenyekevu kama sehemu ya kuonyesha njia ya Wema na kuwa mfano Bora wa UTU.
10. Mwaka 2026 mwaka wa UTU WA KALE.
11. No hate. One nation one destination.
Mungu awabariki.
Kwa walio Morogoro. Jioni tutakuwa Pale mjini. Kufurahia mwaka 2026.
TaikonMaster
Kwa sasa Soko la Kingalu, Morogoro Mjini
Kuomba huambatana na masharti lukuki ambayo wakati mwingine hupora uhuru wako. Haki inadaiwa haiombwiUnataka kitu kilichochini ya uwezo wako.
Unaomba kitu ambacho kipo juu ya uwezo. Wako, au kipo Kwa mtu aliyejuu yako.
Mfano ukata kitu ambacho ni haki yako alafu mwenye nguvu akikuambia sikupi utafanyaje?
Kuomba ni hekima, busara, unyenyekevu.
Pia, unaweza kuwa juu lakini ukamwomba aliyechini kama ishara ya unyenyekevu.
inakoseaga vizuri tu na haina shida kukosolewa, shida inakuja HAKI inatumika kuhalalamisha utovu wa nidham, tiktok ishafunguliwaHivi mnapotetea kila kitu huwa mnamaanisha nn? Kwahiyo hakuna kitu serikali inakosea? Acheni hiyo tabia, hamjengi mnabomoa.
kaa apo utaandika uzi mpaka vidole viote suguNani kakuambia huwezi shindana na serikali haramu
Asichokijua serikali haramu inataka Max awalambe miguu ili wapate access ya kupewa taarifa za member ambao wanaanika madudu yao..!!Wamekosewa wapi hiyo serekali? Acha kuleta mifano irrelevant. Hata hivyo hilo katazo lao lilikuwa la siku 90, nazo zimepita, wanataka kubembelezwa ili iweje labda? Nyie na huu ukuda wenu ndio unachangia serekali kujiona iko sahihi. Acha mambo ya kike dogo.
Haina shida muda utaongea,hauoni dalili ya serikali yenu haramu kuangukakaa apo utaandika uzi mpaka vidole viote sugu
Unapoteza mdaHaina shida muda utaongea,hauoni dalili ya serikali yenu haramu kuanguka
Kwako maisha yanasonga ila Jf inaathirika na hii banWasiifungulie mbona tunaingia kama hivi na maisha yanasonga..!!
Hao watu ni wauaji hukuona interview ya Max aliposema walimpigia simu na kumtishia kumuua??
Anza kuwakemea kwanza na kuwataka waachie jukwaa liwe huru hii nchi ni yetu sote. Kila mwananchi anahitaji haki ya kuishi na kuongea kwa uhuru..!!
Na wewe uache uchawa this is 2026 ushakuwa mtu mzima tafuta pesa kwa jasho sio hizi blah blah za kung’ata na kutuliza..!!
Sawa napoteza muda,lakini dictator, tyrant na butcher Samuya is on fireUnapoteza mda