Ninaiomba Serikali ifungue mtandao wa JamiiForums

Pamoja na kumsifia mama malkia kote huko bado kakomaa tu? Hivi chawa wake nao wanatumia VPN? Naona wanazidi kujaza server tu hapa na wanazaliana deile
Hawa wakina Kimbesa11 Lucha funaku adriz ERTUGRUL BEY MamaSamia2025 Pakome na wengineo ni fedhehea kwa ubinadamu na zaidi sana nchi yetu. Yanasubiria siku CCM wakijisikia kufungua mtandao wenyewe yaje kuimba mapambio hapa mama msikivu, serikali sikivu na upuuzi mwingine mwingi.
 
Umeuliza personal question kwani uliza nijibie wengine? Ndo mana mnafeli vijana hata interviews tu, sijafanya mkutano au data collection kujua ya wengine so sina haki ya kuwasemea

Mada hii IPO kwaajili ya watu wote.
Labda ndio maana tunapishana.
 
Unataka kitu kilichochini ya uwezo wako.

Unaomba kitu ambacho kipo juu ya uwezo. Wako, au kipo Kwa mtu aliyejuu yako.

Mfano ukata kitu ambacho ni haki yako alafu mwenye nguvu akikuambia sikupi utafanyaje?

Kuomba ni hekima, busara, unyenyekevu.
Pia, unaweza kuwa juu lakini ukamwomba aliyechini kama ishara ya unyenyekevu.
Haki huwa haiombwi, you have to demand for your right mkuu!
 
Shida ni kujipendekeza kwa wasiostahili kujinyenyekeza. Kama shida yako ni ufunguliwe, uliza ni kwanini haufunguliwi wakati muda wa adhabu ya uoenevu umeshapita? Kipi hakieleweki hapo dogo?

Kwamba Mimi nijipendekeze kwa faida ya Nani?
Mimi ninachohitaji mtandao ufunguliwe. Sitaki kujua kwanini haufunguliwi. Wala sitaki kujua kwa nini ulifungiwa.

Sipo hapa kuendesha kesi.

Zaidi, nini kinakushinda kuanzisha Uzi wa kutaka kujua kwanini JF haijafunguliwa na unaniagiza Mimi ningeandika au niandike kilichopo kwenye mawazo yako?
Hilo kwako lipo sawa na unatetea haki ya maoni?
 
Huu sasa ni upumbavu,
Kama hutaki kujua kwa nini ulifungiwa na kwa nini haufunguliwi utaombaje ufunguliwe!
 
Hawa wakina Kimbesa11 Lucha funaku adriz ERTUGRUL BEY MamaSamia2025 Pakome na wengineo ni fedhehea kwa ubinadamu na zaidi sana nchi yetu. Yanasubiria siku CCM wakijisikia kufungua mtandao wenyewe yaje kuimba mapambio hapa mama msikivu, serikali sikivu na upuuzi mwingine mwingi.
Kushukru siyo dhambi,
lakini ni sisi sasa wenye jukumu ya kuhakikisha tunaliheshimisha jukwaa letu la jamiiforum kuwa lenye tija, kwa kupost nyuzi za kizalendo, kuepuka upotoshaji, utengano, matusi nk. Hili jukwaa siyo genge la wahuni Wala panyaroad ni jukwaa la heshima kwahyo tuliheshimishe sote

Pia wanajamii acheni chuki mtapata visukari kwasasa huna uwezo wa kuzuia mambo yasiende utaishia kujiumiza roho badae ufe.
 
Kwamba Mimi nijipendekeze kwa faida ya Nani?
Mimi ninachohitaji mtandao ufunguliwe. Sitaki kujua kwanini haufunguliwi. Wala sitaki kujua kwa nini ulifungiwa.

Sipo hapa kuendesha kesi.

Zaidi, nini kinakushinda kuanzisha Uzi wa kutaka kujua kwanini JF haijafunguliwa na unaniagiza Mimi ningeandika au niandike kilichopo kwenye mawazo yako?
Hilo kwako lipo sawa na unatetea haki ya maoni?
Nataka ufunguliwe kupatikana bila VPN Tanzania na sijaomba popote maana najua ni haki kufunguliwa, baada ya muda wa adhabu kupita. Nasema usiombe, bali hoji, muda wa kuomba ilikuwa ni ndani ya zile siku 90 na sio sasa. Kwa sasa uliza uwajibikaji na sio kuomba. Kinyume na hapo ni kujipendekeza fullstop.
 
Kheri ya Mwaka Mpya!

1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii.

2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee.

3. Jamiiforum ni moja ya mambo ambayo serikali ya Tanzania inaweza kujivunia kwa wananchi wake.

4. Malumbano, mivutano na migogoro iwe ya kisiasa au kijamii inaweza kuweko lakini isiwe sababu ya kurudisha jitihada na nguvu zinazoipaisha nchi yetu katika Nyanja kama za kiteknolojia na kidijitali.

5. Watu wengi ikiwemo serikali imefaidika na uwepo wa jamiiforum kuanzia kwenye elimu, habari, maarifa na mawazo mapya, ajira, miongoni mwa mambo mengine.

6. JF kupitia anonymous imesaidia serikali na vyombo vya usalama kupata baadhi ya data ambazo ingetumia nguvu nyingi kuzipata.

7. Ingawaje zipo changamoto za kashfa au tuhuma. Lakini suala hilo lisiwe sababu ya kufungiwa kwa mtandao mzima.

8. Naiomba serikali ifungulie mtandao huu. Hakuna haja ya hasira, chuki, kukomoana, kutunishiana misuli. Kuonyeshana ubabe.

9. Ukubwa ni busses, hekima, unyenyekevu kama sehemu ya kuonyesha njia ya Wema na kuwa mfano Bora wa UTU.

10. Mwaka 2026 mwaka wa UTU WA KALE.
11. No hate. One nation one destination.

Mungu awabariki.
Kwa walio Morogoro. Jioni tutakuwa Pale mjini. Kufurahia mwaka 2026.

TaikonMaster
Kwa sasa Soko la Kingalu, Morogoro Mjini
Badala ya kuomba katiba mpya itakayoleta uwazi ,uwajibikaji na utawala wa sheria nchini wewe upo kama zoba kuomba huruma kwa vibaka waliojipachika madarakani kwa kufanya uhalifu wa kuua watu ,kukandamiza demokrasia ,Uhuru wa kujieleza na kuharibu uchaguzi ................IPO siku watafunga mahospitali mfe tu huko mitaani maana ndio utaratibu wa kishenzi ambao mmeruhusu uwepo ,Kama wanaweza kuwabaka ,kuwafira na kuwaua na wakachoma miili yenu kwenye matanuru ya viwandani na kufukia Kama wanyama kwenye makaburi ya halaiki na wakiwazuia majeruhi kupata Huduma hospitalini huku wakizima internet nchi nzima ,ipo siku watafunga Huduma ya maji ,watazima umeme na kupiga marufuku operations za mahospitali nk na ndio akili zitawajia na kujua kwamba ibilisi Hana Rafiki.
Kwanza Tanzania haijawa na rais walla serikali kuanzia 2015 mpaka Leo maana imekuwa no utaratibu wa kuharibu uchaguzi kibabe na kujipachika madarakani wa genge LA wauaji na washenzi ccm kwa miaka mingi
 
Kushukru siyo dhambi,
lakini ni sisi sasa wenye jukumu ya kuhakikisha tunaliheshimisha jukwaa letu la jamiiforum kuwa lenye tija, kwa kupost nyuzi za kizalendo, kuepuka upotoshaji, utengano, matusi nk. Hili jukwaa siyo genge la wahuni Wala panyaroad ni jukwaa la heshima kwahyo tuliheshimishe sote

Pia wanajamii acheni chuki mtapata visukari kwasasa huna uwezo wa kuzuia mambo yasiende utaishia kujiumiza roho badae ufe.
Kalambe na kunyonya nyeti za waseng€ wanaokutuma na kukutumia Kama condom, mbwa takataka fala wewe .Kwanza kwanini upo humu na vpn kutwa kucha kumsifia kahaba samia na washenzi wenzake au hujui ni kukiuka sheria kwa mujibu wa vibaka wauaji ccm ?,Kvma weww
 
Matusi ni dhambi nenda ukatubu.
Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa
Linda roho Yako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemichemi za uhai.
Nenda ukatubu mheshimiwa dhambi inaua.
NB: walikufa kwasababu walitenda dhambi
 
Kheri ya Mwaka Mpya!

1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii.

2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee.

3. Jamiiforum ni moja ya mambo ambayo serikali ya Tanzania inaweza kujivunia kwa wananchi wake.

4. Malumbano, mivutano na migogoro iwe ya kisiasa au kijamii inaweza kuweko lakini isiwe sababu ya kurudisha jitihada na nguvu zinazoipaisha nchi yetu katika Nyanja kama za kiteknolojia na kidijitali.

5. Watu wengi ikiwemo serikali imefaidika na uwepo wa jamiiforum kuanzia kwenye elimu, habari, maarifa na mawazo mapya, ajira, miongoni mwa mambo mengine.

6. JF kupitia anonymous imesaidia serikali na vyombo vya usalama kupata baadhi ya data ambazo ingetumia nguvu nyingi kuzipata.

7. Ingawaje zipo changamoto za kashfa au tuhuma. Lakini suala hilo lisiwe sababu ya kufungiwa kwa mtandao mzima.

8. Naiomba serikali ifungulie mtandao huu. Hakuna haja ya hasira, chuki, kukomoana, kutunishiana misuli. Kuonyeshana ubabe.

9. Ukubwa ni busses, hekima, unyenyekevu kama sehemu ya kuonyesha njia ya Wema na kuwa mfano Bora wa UTU.

10. Mwaka 2026 mwaka wa UTU WA KALE.
11. No hate. One nation one destination.

Mungu awabariki.
Kwa walio Morogoro. Jioni tutakuwa Pale mjini. Kufurahia mwaka 2026.

TaikonMaster
Kwa sasa Soko la Kingalu, Morogoro Mjini
Hivi
Mkuu kwenye insha ulikuwa unapata ngapi?
 
Unataka kitu kilichochini ya uwezo wako.

Unaomba kitu ambacho kipo juu ya uwezo. Wako, au kipo Kwa mtu aliyejuu yako.

Mfano ukata kitu ambacho ni haki yako alafu mwenye nguvu akikuambia sikupi utafanyaje?

Kuomba ni hekima, busara, unyenyekevu.
Pia, unaweza kuwa juu lakini ukamwomba aliyechini kama ishara ya unyenyekevu.
Kwa hiyo ukiwa na nguvu ukamnyima mtu haki yake hujui madhara yake sio? Taikoni kuna muda huwa unazingua sana. Au ndo amani itawale.
 
Nafikiri ni semantic ya lugha inakuchanganya.
Mimi nataka mtandao ufunguliwe. Lakini wale waliofunga ninapowasiliana nao siwezi kuwaambia nataka wafanye ABC.
Nitasema naomba kwa sababu lipo nje ya uwezo wangu.

Kuwaambia nataka na kuwaagiza huku najua halipo ndani ya uwezo wangu huoni kama nitakuwa sina mantiki
Hao sio Mungu ni lazima kuwaambia waachilie haki za wengine.

Kuwaomba ni kuwapa utukufu usio stahili kwao.
 
Back
Top Bottom