Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma .
Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:-
1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na kipato kikubwa chamani .
2.Kupooza majeraha ya wafuasi wa Magufuli , Tundu lissu ni muhanga wa utawala wa awamu ya Tano lakini hakuna namna utatenganisha mapenzi ya watanzania kwa hayati Magufuli
Kuna wana CCM na wananchi wengi sana ni wafuasi wa Magufuli, hakuna namna ya kuwafurahisha zaidi ya kusema mazuri yake
3.kila kitu huwa kina mwanzo na mwisho CDM tukicheza siasa vizuri dola itakuwa upande wa Umma
Soma:
www.jamiiforums.com

Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993. https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...