Pre GE2025 Ninaiona dola ikiweka utaifa mbele na CHADEMA ikishinda uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma .

Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:-

1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na kipato kikubwa chamani .

2.Kupooza majeraha ya wafuasi wa Magufuli , Tundu lissu ni muhanga wa utawala wa awamu ya Tano lakini hakuna namna utatenganisha mapenzi ya watanzania kwa hayati Magufuli

Kuna wana CCM na wananchi wengi sana ni wafuasi wa Magufuli, hakuna namna ya kuwafurahisha zaidi ya kusema mazuri yake

3.kila kitu huwa kina mwanzo na mwisho CDM tukicheza siasa vizuri dola itakuwa upande wa Umma
Naona hivyo.
 
Soma:
Dola ya marekani au shilingi ya Tanzania 😀
 
TL akicheza karata vizuri atafanya vizuri asamehe aunganishe watu ,CCM kuna watu wanamakovu sana ya kuondokewe jiwe na yeye kila muda kumsema marehemu
Namkubali.
1. Nyerere
2.Magufuli 3. Lisu
 
Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma .

Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:-

1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na kipato kikubwa chamani .

2.Kupooza majeraha ya wafuasi wa Magufuli , Tundu lissu ni muhanga wa utawala wa awamu ya Tano lakini hakuna namna utatenganisha mapenzi ya watanzania kwa hayati Magufuli

Kuna wana CCM na wananchi wengi sana ni wafuasi wa Magufuli, hakuna namna ya kuwafurahisha zaidi ya kusema mazuri yake

3.kila kitu huwa kina mwanzo na mwisho CDM tukicheza siasa vizuri dola itakuwa upande wa Umma

Soma:
Labda kama unamaanisha mpewe Dola za Zimbabwe 🤣🤣
 
TL akicheza karata vizuri atafanya vizuri asamehe aunganishe watu ,CCM kuna watu wanamakovu sana ya kuondokewe jiwe na yeye kila muda kumsema marehemu
Ni kama amepunguza sana kumsema. Anatakiwa asamehe ili kundi kubwa la wafuasi wa JPM limuunge mkono. Kuna kura nyingi sana atazizoa kwa kuyasema mazuri aliyoyafanya
 
Lissu ni mwepesi mno, CCM imeshashinda. CDM tumeizika rasmi baada ya uchaguzi wao.
 
Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma .

Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:-

1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na kipato kikubwa chamani .

2.Kupooza majeraha ya wafuasi wa Magufuli , Tundu lissu ni muhanga wa utawala wa awamu ya Tano lakini hakuna namna utatenganisha mapenzi ya watanzania kwa hayati Magufuli

Kuna wana CCM na wananchi wengi sana ni wafuasi wa Magufuli, hakuna namna ya kuwafurahisha zaidi ya kusema mazuri yake

3.kila kitu huwa kina mwanzo na mwisho CDM tukicheza siasa vizuri dola itakuwa upande wa Umma

Soma:

CCM siku hizi hawafanyi chaguzi tena wanasubiria usalama na Polisi
 
Naheshimu maoni Yako,

Kuhusu vijana wale Nape na kwamba walipoondoshwa, ulitangulia kidokeza pia.
 
Ni kama amepunguza sana kumsema. Anatakiwa asamehe ili kundi kubwa la wafuasi wa JPM limuunge mkono. Kuna kura nyingi sana atazizoa kwa kuyasema mazuri aliyoyafanya
Uko sahihi
 
TL akicheza karata vizuri atafanya vizuri asamehe aunganishe watu ,CCM kuna watu wanamakovu sana ya kuondokewe jiwe na yeye kila muda kumsema marehemu
Wachawi walishakufa
 
Huenda unarukia hoja hapa jukwaani kiasi huoni watu wanachangia nini. Mimi ni mmoja wa watu tuliokuwa tunasema Mbowe hastahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm toka amchukue Lowasa. Sikuwahi kubadilisha msimamo wangu huo, na uko hadharani toka 2015. Tafuta popote ninapokubali Mbowe kuwa mwenyekiti wa cdm toka wakati huo, ukipaona nipigwe ban ya maisha hapa jukwaaani.
Sawa mkuu nisamehe
 
Kama Lissu anaweza kuishawishi timu magufuli kuja kuongeza nguvu CDM basi 2025 itakuwa kimbunga.

Lakini kabla ya yote hizo timu mbili za uchaguzi wa ndani wanatakiwa wote wawe wamoja, makovu yote yapigwe pilipili kichaa ya unga yapone fasta.

Kuwavuta hao jamaa ni lazima waone kwanza CDM wote wapo pamoja timu Mbowe na Timu Lissu.

Yote yawezekana, Lissu anamuhitaji Mbowe kukamilisha hii project maana muda ni mchache.
Kwa tume ya Uchaguzi hii inayonyima wagombea fomu na kukimbia ofisi ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hàkuna upinzani wa kweli utatoka nje ya CCM. Kama CCM haitameguka na kufanya upinzani, Chadema na tundu lissu hawawezi badilisha chochote!
CCM itaendelea kutawala hata waweke mgombea toka burundi.
Ona kizimkazi anavyosigina katiba na wátanganyika wametoa machogo tuu.
Endeleeni kuamini hivyo
 
Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma .

Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:-

1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na kipato kikubwa chamani .

2.Kupooza majeraha ya wafuasi wa Magufuli , Tundu lissu ni muhanga wa utawala wa awamu ya Tano lakini hakuna namna utatenganisha mapenzi ya watanzania kwa hayati Magufuli

Kuna wana CCM na wananchi wengi sana ni wafuasi wa Magufuli, hakuna namna ya kuwafurahisha zaidi ya kusema mazuri yake

3.kila kitu huwa kina mwanzo na mwisho CDM tukicheza siasa vizuri dola itakuwa upande wa Umma

Soma:
Essay ya uchambuzi wako ndo imeishia hapa...?

Bado kidogo...

Nadhani unapaswa kuja na research yenye hoja za nguvu zaidi ya hizi hisia na fikra zako tu...
 
Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma .

Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:-

1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na kipato kikubwa chamani .

2.Kupooza majeraha ya wafuasi wa Magufuli , Tundu lissu ni muhanga wa utawala wa awamu ya Tano lakini hakuna namna utatenganisha mapenzi ya watanzania kwa hayati Magufuli

Kuna wana CCM na wananchi wengi sana ni wafuasi wa Magufuli, hakuna namna ya kuwafurahisha zaidi ya kusema mazuri yake

3.kila kitu huwa kina mwanzo na mwisho CDM tukicheza siasa vizuri dola itakuwa upande wa Umma

Soma:
Dola ipi tena? Kankan Mussa?
 
Back
Top Bottom