Pre GE2025 Ninaiona dola ikiweka utaifa mbele na CHADEMA ikishinda uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona hivyo.
 
Dola ya marekani au shilingi ya Tanzania 😀
 
TL akicheza karata vizuri atafanya vizuri asamehe aunganishe watu ,CCM kuna watu wanamakovu sana ya kuondokewe jiwe na yeye kila muda kumsema marehemu
Namkubali.
1. Nyerere
2.Magufuli 3. Lisu
 
Labda kama unamaanisha mpewe Dola za Zimbabwe 🤣🤣
 
TL akicheza karata vizuri atafanya vizuri asamehe aunganishe watu ,CCM kuna watu wanamakovu sana ya kuondokewe jiwe na yeye kila muda kumsema marehemu
Ni kama amepunguza sana kumsema. Anatakiwa asamehe ili kundi kubwa la wafuasi wa JPM limuunge mkono. Kuna kura nyingi sana atazizoa kwa kuyasema mazuri aliyoyafanya
 
Lissu ni mwepesi mno, CCM imeshashinda. CDM tumeizika rasmi baada ya uchaguzi wao.
 
CCM siku hizi hawafanyi chaguzi tena wanasubiria usalama na Polisi
 
Naheshimu maoni Yako,

Kuhusu vijana wale Nape na kwamba walipoondoshwa, ulitangulia kidokeza pia.
 
Ni kama amepunguza sana kumsema. Anatakiwa asamehe ili kundi kubwa la wafuasi wa JPM limuunge mkono. Kuna kura nyingi sana atazizoa kwa kuyasema mazuri aliyoyafanya
Uko sahihi
 
TL akicheza karata vizuri atafanya vizuri asamehe aunganishe watu ,CCM kuna watu wanamakovu sana ya kuondokewe jiwe na yeye kila muda kumsema marehemu
Wachawi walishakufa
 
Sawa mkuu nisamehe
 
Kwa tume ya Uchaguzi hii inayonyima wagombea fomu na kukimbia ofisi ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Endeleeni kuamini hivyo
 
Essay ya uchambuzi wako ndo imeishia hapa...?

Bado kidogo...

Nadhani unapaswa kuja na research yenye hoja za nguvu zaidi ya hizi hisia na fikra zako tu...
 
Dola ipi tena? Kankan Mussa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…