Ninaipenda Taifa Stars Ila Nasikitika Kusema kuwa Inaendwa kufungwa na DR Congo pale pale Kwa Mkapa

Inawezekana upo ofisin na ukawa unasinzia

Utanishtua maluweluwe yakiisha
Hoja ni mechi ya mpira ila wewe na hoja zako Mara Maluweluwe, mara usingizi, mara ushtuliwe sijui ofisini.

🀣🀣.
Haya unikumbushe kukushtua.
 
Tatizo sio la kwako...shida ni kwa watz wenyewee..wanaipa pressure team kipind ambacho wao wanaona wamekaribia mafanikio..team inacheza kwa pressure matokeo yake inaangukia pua. Hii mechi viongoz wameikamia utazan wao ndo wako uwanjani...zito kaanza kuicheza miez miwil nyuma huko twitani, mara juz wazir mkuu kawatembelea...ni kuwapa pressure zisizo na msingi.
We must take it easy, normal and consider it as just a game like other games
.sio kuipania, mara tunashinda cjui nn..woiiii
 
Ndio tulivyo mdau izi hamasa ukiona zinapamba moto ivi mara nyingi huwa tunaishia kwenye simanzi
 
Hapo ndo laana inapotokeaga
 
Kila la heri timu ya asili yangu DR Congo
 
Hakuna jipya duniani. TZ tumejiandaa na tukitoka haitakuwa mara ya kwanza kwa timu kutolewa. Pamoja na yote haya bado INAWEZEKANA.
Itakuja kuwezekana lakinj sio katika wakati ambao utakuwa HAI.
 
Taifa stars mm Naiombea mema, ikamtandike huyo mkongo tufurahi pamoja, na ikitokea wakafungwa tuhuzunike pamoja lakini kwa sasa TWENDENI VITANI TAIFA.
Vita inaendeleaje Muraaaaa! 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…