Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Amka kwanza ili utoe wenge la usingiziHakuna jipya duniani. TZ tumejiandaa na tukitoka haitakuwa mara ya kwanza kwa timu kutolewa. Pamoja na yote haya bado INAWEZEKANA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka kwanza ili utoe wenge la usingiziHakuna jipya duniani. TZ tumejiandaa na tukitoka haitakuwa mara ya kwanza kwa timu kutolewa. Pamoja na yote haya bado INAWEZEKANA.
We jipange na kutoa sapoti kwa taifa lako unless ww ni mkongomani wale wa bolingo viuno.Amka kwanza ili utoe wenge la usingizi
Wenge la usingizi likiisha utaniambiaWe jipange na kutoa sapoti kwa taifa lako unless ww ni mkongomani wale wa bolingo viuno.
8:22 am unamawazo ya kitanda.Wenge la usingizi likiisha utaniambia
Inawezekana upo ofisin na ukawa unasinzia8:22 am unamawazo ya kitanda.
Hoja ni mechi ya mpira ila wewe na hoja zako Mara Maluweluwe, mara usingizi, mara ushtuliwe sijui ofisini.Inawezekana upo ofisin na ukawa unasinzia
Utanishtua maluweluwe yakiisha
Tatizo sio la kwako...shida ni kwa watz wenyewee..wanaipa pressure team kipind ambacho wao wanaona wamekaribia mafanikio..team inacheza kwa pressure matokeo yake inaangukia pua. Hii mechi viongoz wameikamia utazan wao ndo wako uwanjani...zito kaanza kuicheza miez miwil nyuma huko twitani, mara juz wazir mkuu kawatembelea...ni kuwapa pressure zisizo na msingi.Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.
Yaani ina tabia fulani hivi kama ya Mwanamke Malaya.
Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa...lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu..
Mimi nishaijulia..
Huwaga naiunga mkono katika kipindi ambacho kila mtanzania hana matumaini nayo...Halafu ninaipotezea kiaina kipindi ambacho iko kwenye form nzuri. Maana hiko ndio kipindi ambacho timu inaiandaa na kuiset mioyo yetu ili ikaifunje vizuri.
Kama vile uko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mzuri kwa kipindi kirefu. Inafika hatua mapenzi yana shika hatamu kiasi kwamba akili yako inaamini kuwa huyo demu hawezi kuja kukucheat hata siku moja. Ndio wakati huo unaletewa video na mwana wakaribu ikionyesha demu huyo huyo anapumuliwa na muuza kahawa wa mtaa wa pili.
Sasa siku na wakati umefika. Msije sema sijawaambia. Taifa Stars anaenda kufa pale pale kwa Mkapa dhidi ya DR Congo.
Ndio tulivyo mdau izi hamasa ukiona zinapamba moto ivi mara nyingi huwa tunaishia kwenye simanziTaifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.
Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu.
Mimi nishaijulia..
Huwaga naiunga mkono katika kipindi ambacho kila mtanzania hana matumaini nayo...Halafu ninaipotezea kiaina kipindi ambacho iko kwenye form nzuri. Maana hiko ndio kipindi ambacho timu inaiandaa na kuiset mioyo yetu ili ikaifunje vizuri.
Kama vile uko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mzuri kwa kipindi kirefu. Inafika hatua mapenzi yana shika hatamu kiasi kwamba akili yako inaamini kuwa huyo demu hawezi kuja kukucheat hata siku moja. Ndio wakati huo unaletewa video na mwana wakaribu ikionyesha demu huyo huyo anapumuliwa na muuza kahawa wa mtaa wa pili.
Sasa siku na wakati umefika. Msije sema sijawaambia. Taifa Stars anaenda kufa pale pale kwa Mkapa dhidi ya DR Congo.
Hapo ndo laana inapotokeagaKitendo Cha wanasiasa na viongoz wa serikal kujitokeza wakat Kama huu sijapenda kabisa
Wakat tunaanza mashindano walikuwa kimya ila Sasa kila mtu anajifanya n mshauri mhamsishaji na hapo ndpo timu inapofeli
Kama tunataka kuiunga timu yetu mkono tuanze mwanzoni kwa pamoja
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Majamaa Ni viazi kabisa..Yani Ni Kama netball tuAta uma tu ila kung'ata hawezi.
Kila jambo na wakati wake. Nyakati hizi ni nyakati za aibu aibu na huzuni.Itakuja kuwezekana lakinj sio katika wakati ambao utakuwa HAI.