Ninaipenda Taifa Stars Ila Nasikitika Kusema kuwa Inaendwa kufungwa na DR Congo pale pale Kwa Mkapa

Ninaipenda Taifa Stars Ila Nasikitika Kusema kuwa Inaendwa kufungwa na DR Congo pale pale Kwa Mkapa

Inawezekana upo ofisin na ukawa unasinzia

Utanishtua maluweluwe yakiisha
Hoja ni mechi ya mpira ila wewe na hoja zako Mara Maluweluwe, mara usingizi, mara ushtuliwe sijui ofisini.

🤣🤣.
Haya unikumbushe kukushtua.
 
Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.

Yaani ina tabia fulani hivi kama ya Mwanamke Malaya.

Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa...lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu..

Mimi nishaijulia..

Huwaga naiunga mkono katika kipindi ambacho kila mtanzania hana matumaini nayo...Halafu ninaipotezea kiaina kipindi ambacho iko kwenye form nzuri. Maana hiko ndio kipindi ambacho timu inaiandaa na kuiset mioyo yetu ili ikaifunje vizuri.

Kama vile uko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mzuri kwa kipindi kirefu. Inafika hatua mapenzi yana shika hatamu kiasi kwamba akili yako inaamini kuwa huyo demu hawezi kuja kukucheat hata siku moja. Ndio wakati huo unaletewa video na mwana wakaribu ikionyesha demu huyo huyo anapumuliwa na muuza kahawa wa mtaa wa pili.

Sasa siku na wakati umefika. Msije sema sijawaambia. Taifa Stars anaenda kufa pale pale kwa Mkapa dhidi ya DR Congo.
Tatizo sio la kwako...shida ni kwa watz wenyewee..wanaipa pressure team kipind ambacho wao wanaona wamekaribia mafanikio..team inacheza kwa pressure matokeo yake inaangukia pua. Hii mechi viongoz wameikamia utazan wao ndo wako uwanjani...zito kaanza kuicheza miez miwil nyuma huko twitani, mara juz wazir mkuu kawatembelea...ni kuwapa pressure zisizo na msingi.
We must take it easy, normal and consider it as just a game like other games
.sio kuipania, mara tunashinda cjui nn..woiiii
 
Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.

Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu.

Mimi nishaijulia..

Huwaga naiunga mkono katika kipindi ambacho kila mtanzania hana matumaini nayo...Halafu ninaipotezea kiaina kipindi ambacho iko kwenye form nzuri. Maana hiko ndio kipindi ambacho timu inaiandaa na kuiset mioyo yetu ili ikaifunje vizuri.

Kama vile uko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mzuri kwa kipindi kirefu. Inafika hatua mapenzi yana shika hatamu kiasi kwamba akili yako inaamini kuwa huyo demu hawezi kuja kukucheat hata siku moja. Ndio wakati huo unaletewa video na mwana wakaribu ikionyesha demu huyo huyo anapumuliwa na muuza kahawa wa mtaa wa pili.

Sasa siku na wakati umefika. Msije sema sijawaambia. Taifa Stars anaenda kufa pale pale kwa Mkapa dhidi ya DR Congo.
Ndio tulivyo mdau izi hamasa ukiona zinapamba moto ivi mara nyingi huwa tunaishia kwenye simanzi
 
Kitendo Cha wanasiasa na viongoz wa serikal kujitokeza wakat Kama huu sijapenda kabisa

Wakat tunaanza mashindano walikuwa kimya ila Sasa kila mtu anajifanya n mshauri mhamsishaji na hapo ndpo timu inapofeli

Kama tunataka kuiunga timu yetu mkono tuanze mwanzoni kwa pamoja

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hapo ndo laana inapotokeaga
 
Hakuna jipya duniani. TZ tumejiandaa na tukitoka haitakuwa mara ya kwanza kwa timu kutolewa. Pamoja na yote haya bado INAWEZEKANA.
Itakuja kuwezekana lakinj sio katika wakati ambao utakuwa HAI.
 
Taifa stars mm Naiombea mema, ikamtandike huyo mkongo tufurahi pamoja, na ikitokea wakafungwa tuhuzunike pamoja lakini kwa sasa TWENDENI VITANI TAIFA.
Vita inaendeleaje Muraaaaa! 😁😁
 
Back
Top Bottom