Ninaipenda Taifa Stars Ila Nasikitika Kusema kuwa Inaendwa kufungwa na DR Congo pale pale Kwa Mkapa

Kila jambo na wakati wake. Nyakati hizi ni nyakati za aibu aibu na huzuni.
Nyakati hizi zitaendelea mpaka milele.

Wajukuu & Vitukuu vyako vikiwa na umri kama wakwako nao watasema hayo uyasemayo.
 
Uwezo binafsi wa wachezaji wa DRC umeamua mechi. Ukiacha goli la tatu, DRC wamemililki mpira kwa kiasi kidogo Ila nafasi chache walizopata zimetumika vizuri. Leo DRC wamecheza Kama timu kubwa.
 
Kawaida mpira unadunda kama uliangalia mechi utaona congo wana wachezaji wazoefu.
 
We lichawi sana ku%!$@%#:&ko zako
 
Sawa mganga wetu
 
Wakati unaingia vitani, huhitaji kuwa na watu wenye mawazo ya kisaliti kama ya kwako kwani hukatisha tamaa!

ikikupendeza na kuonesha kuwa uko matured ungefuta tu hii post yako!
Bado unataka afute post yake
 
Niliacha kuishabikia taifa stars tulipokandamizwa nne na akina mamadoe niang,naamini ulikuwa uamuzi sahihi sana hongereni bana Kongo kwa kuwafunga taifa stars.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…