JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Wamekuja na silaha ambazo hatukubaliana.Vita inaendeleaje Muraaaaa! 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekuja na silaha ambazo hatukubaliana.Vita inaendeleaje Muraaaaa! 😁😁
Sawa kwani nimebisha?Nyakati hizi zitaendelea mpaka milele.
Wajukuu & Vitukuu vyako vikiwa na umri kama wakwako nao watasema hayo uyasemayo.
Tulikosa striker basi naamini icho.Mpira hata udunde vipi African Lyoni hana uwezo wa kumfunga Bayern Munich.
Vipi afute au ufute wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakati unaingia vitani, huhitaji kuwa na watu wenye mawazo ya kisaliti kama ya kwako kwani hukatisha tamaa!
ikikupendeza na kuonesha kuwa uko matured ungefuta tu hii post yako!
Sawa mganga wetuTaifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.
Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu.
Mimi nishaijulia..
Huwaga naiunga mkono katika kipindi ambacho kila mtanzania hana matumaini nayo...Halafu ninaipotezea kiaina kipindi ambacho iko kwenye form nzuri. Maana hiko ndio kipindi ambacho timu inaiandaa na kuiset mioyo yetu ili ikaifunje vizuri.
Kama vile uko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mzuri kwa kipindi kirefu. Inafika hatua mapenzi yana shika hatamu kiasi kwamba akili yako inaamini kuwa huyo demu hawezi kuja kukucheat hata siku moja. Ndio wakati huo unaletewa video na mwana wakaribu ikionyesha demu huyo huyo anapumuliwa na muuza kahawa wa mtaa wa pili.
Sasa siku na wakati umefika. Msije sema sijawaambia. Taifa Stars anaenda kufa pale pale kwa Mkapa dhidi ya DR Congo.
Nakusabahi mkuu! Nazani ushajua nani mnafikiAcha unafki wewe hivi unadhani taifa stars wameongoza group kimasihara? unaangalia ata mechi wewe kweli? maana sometimes unakuja na thread za ajabu!
Vipi bado wanaongoza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha unafki wewe hivi unadhani taifa stars wameongoza group kimasihara? unaangalia ata mechi wewe kweli? maana sometimes unakuja na thread za ajabu!
Bado unataka afute post yakeWakati unaingia vitani, huhitaji kuwa na watu wenye mawazo ya kisaliti kama ya kwako kwani hukatisha tamaa!
ikikupendeza na kuonesha kuwa uko matured ungefuta tu hii post yako!
Niliacha kuishabikia taifa stars tulipokandamizwa nne na akina mamadoe niang,naamini ulikuwa uamuzi sahihi sana hongereni bana Kongo kwa kuwafunga taifa stars.Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.