Ninaipenda Taifa Stars Ila Nasikitika Kusema kuwa Inaendwa kufungwa na DR Congo pale pale Kwa Mkapa

Ninaipenda Taifa Stars Ila Nasikitika Kusema kuwa Inaendwa kufungwa na DR Congo pale pale Kwa Mkapa

Wakati unaingia vitani, huhitaji kuwa na watu wenye mawazo ya kisaliti kama ya kwako kwani hukatisha tamaa!

ikikupendeza na kuonesha kuwa uko matured ungefuta tu hii post yako!

Katoa mtizamo wake na sababu zake na kweli tumekufa vibaya [emoji28][emoji28]
 
Niliacha kuishabikia taifa stars tulipokandamizwa nne na akina mamadoe niang,naamini ulikuwa uamuzi sahihi sana hongereni bana Kongo kwa kuwafunga taifa stars.
😁😁😁😁
 
Screenshot_20211112-053835.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.

Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu.

Mimi nishaijulia..

Huwaga naiunga mkono katika kipindi ambacho kila mtanzania hana matumaini nayo...Halafu ninaipotezea kiaina kipindi ambacho iko kwenye form nzuri. Maana hiko ndio kipindi ambacho timu inaiandaa na kuiset mioyo yetu ili ikaifunje vizuri.

Kama vile uko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mzuri kwa kipindi kirefu. Inafika hatua mapenzi yana shika hatamu kiasi kwamba akili yako inaamini kuwa huyo demu hawezi kuja kukucheat hata siku moja. Ndio wakati huo unaletewa video na mwana wakaribu ikionyesha demu huyo huyo anapumuliwa na muuza kahawa wa mtaa wa pili.

Sasa siku na wakati umefika. Msije sema sijawaambia. Taifa Stars anaenda kufa pale pale kwa Mkapa dhidi ya DR Congo.
Genius
 
Back
Top Bottom