Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Unazingua mpira haujachek kwan?Nakusabahi mkuu! Nazani ushajua nani mnafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazingua mpira haujachek kwan?Nakusabahi mkuu! Nazani ushajua nani mnafiki
..Vipi bado wanaongoza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati unaingia vitani, huhitaji kuwa na watu wenye mawazo ya kisaliti kama ya kwako kwani hukatisha tamaa!
ikikupendeza na kuonesha kuwa uko matured ungefuta tu hii post yako!
Mpira unadunda sawa ..lakini sio kwenye tope ....Kawaida mpira unadunda kama uliangalia mechi utaona congo wana wachezaji wazoefu.
GeniusTaifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.
Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu.
Mimi nishaijulia..
Huwaga naiunga mkono katika kipindi ambacho kila mtanzania hana matumaini nayo...Halafu ninaipotezea kiaina kipindi ambacho iko kwenye form nzuri. Maana hiko ndio kipindi ambacho timu inaiandaa na kuiset mioyo yetu ili ikaifunje vizuri.
Kama vile uko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mzuri kwa kipindi kirefu. Inafika hatua mapenzi yana shika hatamu kiasi kwamba akili yako inaamini kuwa huyo demu hawezi kuja kukucheat hata siku moja. Ndio wakati huo unaletewa video na mwana wakaribu ikionyesha demu huyo huyo anapumuliwa na muuza kahawa wa mtaa wa pili.
Sasa siku na wakati umefika. Msije sema sijawaambia. Taifa Stars anaenda kufa pale pale kwa Mkapa dhidi ya DR Congo.