NINAISHAURI SERIKALI IKAE MEZA MOJA NA CHADEMA KABLA YA MAANDAMANO YA KESHO

NINAISHAURI SERIKALI IKAE MEZA MOJA NA CHADEMA KABLA YA MAANDAMANO YA KESHO

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
CHADEMA wameshikilia hoja yao ya kufanya maandamano kesho. Serikali pia imeshikilia msimamo wake pia kuwa kesho hakuna maandamano. Serikali ina hoja ya kwa kutokea uvunjifu wa amani na CHADEMA pia wana hoja ya kutaka vijana wao waliotekwa waachiliwe huru au warudishwe wakiwa wamekufa. Mfano kama CHADEMA wakishikilia msimamo wao kesho kunaweza kutokea maafa makubwa ambayo haijawahi kutokea kwa sababu hawawezi kushindana na serikali na lawama zote zitaelekezwa kwa Serikali hasa kwa Mhe. Rais. Rai yangu kwa Serikali hasa kwa Mhe. Rais wakae meza moja na CHADEMA ili muafaka upatikane ili kuwe na win win situation vinginevyo yatakayo tokea kesho itakuwa nimaafa makubwa.
 
Sheria zinasemaje kuhusu maandamano.

NB. Nje ya mada Wale wa usafi wako wapi kula wakati wa maandamano ya upinzani.
 
Sheria zinasemaje kuhusu maandamano.

NB. Nje ya mada Wale wa usafi wako wapi kula wakati wa maandamano ya upinzani.
Kama mnazani hii ni serekali ya samaki kesho nendeni mkaandamane muone kipigo cha Mbwa koko kinavyokua!!
 
KUNGUNI yeyote atakaye jaribu kusogeza pua yake atajuta kuandamana.
 
Back
Top Bottom