Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
kuna dhuruma kubwa sana umefanya lkn hukumbuki jaribu kukumbuka watoto uliowatelekeza kwa kuzingati kila maku uliyo ingia na kutoka jiulize hujaacha katoto hapo??Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
kukaa tu hapo nje na kusalimia wapitao atanenepa huyoooooMademu wanataka pesa sio majumba
FURAHA LAZIMA UIKOSE KWA KUWA KATIKA UTAFUTAJI PESA KUNA MAMBO MINGI UNAPITIA USIKUTE UMEAMBIWA UNATAKIWA KUTOA KAFARA AU MUDA UMEFIKA WA WW KUJITOA LAZIMA UKOSE FURAHA HAKIKAWakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
Umejenga mbali sana, ungejenga MikocheniWakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
Pesa za dhulumaUmejenga mbali sana, ungejenga Mikocheni
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
Niuzie!Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
Unajuaje kama sio yeye, ni vipi kama hiyo unayemjua ndiyo anatumia User name hiyo hapa JFMkuu amini nakuambia huo mjengo sio wako hpo napajua mpaka ndani ma mwenyewe namjua vizuri hapo sio kwako shubmitttt
UmerogwaWakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
Kumebana sana! space ndogo labda ndiyo kinamkosesha raha.Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?