Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nn?

View attachment 2083778
Kama hela ulizojengea ni halali kabisa .basi wewe jipe muda utafurahia maisha huko.inaweza kuwa ni ugeni tu maana umehamia kutoka eneo lingine.Otherwise kama hela ulizojengea siyo halali basi kuna mengi ya kuzungumza
 
Kipapai ili upeperuke rudi kwa mola wako Waite masheikh wawe wanafanya visomo.Kama ni mkristo waite wachungaji mfanye maombi japo wengi wamekuwa wapiga dili.Usisahau kutembelea vituo vya watoto Yatima kuwapa swadaqa,Duwa ya wale yatima haina kipingamizi kwa muumba wa mbingu na Ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…