Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Sasa kulikuwa na ulazima gani wa kutaja Ghorofa, Bunju na kutuaekea picha hapa?
Naungana na waliochangia post #1 &2 na wengine ambao wamenusa harufu ya utapeli
 
Duuuh uzi mdogo ushauriwe vipi hapo?

Kopa bank dhamana nyumba yako na pesa zote Katoe sadaka
 
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nn?

View attachment 2083778
Pole sana mkuu.Ila unapaswa kujua kwamba material possessions au earthly possessions sio chanzo cha furaha.Furaha ya kweli inatokana na kujua kwamba you are right with God.Utahangaika weee.....,lakini as long as you are not right with God,you will never know true peace.

Nakushauri umkiri Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako,Yeye ndiye anayetoa amani ya kweli.Amani from any other source is fake.
 
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nn?

View attachment 2083778
hongera kwa kujenga,ila hii nyumba nyumba sio mali yako.

siku nyingine unapozungumzia masuala ya ujenzi, ambatanisha picha ya nyumba yako ili uweze ku inspire wengine kujenga.

hii nyumba ipo tegeta na ni apartment
inayotafutiwa mteja wa kupanga. tangazo lake linetundikwa katika mtandao wa House to rent in Tageta

NB: asante kwa kurahisisha ku-push tangazo hili. limesaidia kuongeza traffic kwenye website husika.
View attachment 2084565
IMG_20220117_090734.jpg
View attachment 2084564
 
Tatizo ni kuwa ulitaka kutuonesha nyumba yako.
 
ama furaha yako ilikuwa wewe tu ndo uwe unamiliki gorofa apo mtaani tuu manake naona kushoto na kulia migorofa
 
Inategemea pesa zako umezipata ktk mazingira gani.Kama ulimtoa sadaka mzazi/mwanao ili kupata pesa unadhani utakuwa na furaha?
 
Huwezi kua na amani Kama umejenga na pesa ya dhulma.
Remember KARMA is real
 
Back
Top Bottom