Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Karibuni Bunju

2840988_IMG-20210713-WA0016.jpg
 
Mmmh nimejarib kuangalia user name yako tu nimechoka mkuu..but ongera kwa ujenzi huo
 
Huwezi kuwa na furaha hiyo nyumba ni ndogo sana na iko very squeezed kwenye kiwanja kidogo.
 
Jitathmini mkuu...usikute umejenga mjengo hivyo ila kunya unakunya bar au kwa jirani sasa furaha utaitoa wapi hapo...chezea masharti ya bwana mganga wewe.
 
One spliff a day ah! Keep de evil away ah!
 
Mkuu hongera sana kwa kujenga, nami siku moja ntakuwa na nyumba nimejenga cha muhimu kuwa na furaha, mimi natafuta sana nipate kazi ili niweze kujenga nyumba yangu ata kama ni ndogo ila niwe kwangu,
 
Kunywa bia wewe shida zote za dunia zitakimbia
Aisee ushauri mbovu kabisa huu.Sasa si atakuwa mlevi,maana itabidi anywe kila siku!Sasa atakapo haribu maisha yake kwa ulevi,si ndio ataharibikiwa kabisha.No true peace comes by knowing that you are right with God.
 
Huyu ni lazima atakua Shamba boy wangu tu kumnunulia simu tayari ameamua kupiga picha nyumba yangu anasema yake
 
Back
Top Bottom