Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Hawa jamaa wanaochukua nyuma za watu na kuweka mitandaoni huwa wanakosea sana watu heshima.
 
mmh mkuu Hiyo nyumba ni yako kweli? Hiyo si iko karibia na kwa mama munuo kwenye lile pori?

Acha fiksi mzee😂
 
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?


Huo ni mradi wa nyumba (residential estate), zinafana!
Mageti yanafanana, nyumba zinafanana, mapaa yanafanana. Kubwa zaidi ni hicho kibao cheusi kwenye nguzo ya kushoto ya geti (kina maelezo yote). Huo mradi haupo bunju b!

vp mkuu, umeokota wangapi mpaka Sasa?
 
Back
Top Bottom