HiO Ndio la msingi sio unajenga maghorofa wakati unaweza kujenga kanyumba simple huku wajilie warembo tuuHapo furaha nunua nyapu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HiO Ndio la msingi sio unajenga maghorofa wakati unaweza kujenga kanyumba simple huku wajilie warembo tuuHapo furaha nunua nyapu tu
Usituponze, wacha tujenge tupate pa kulalaNdio maana kwenye ule uzi niliwaambia msijenge nyumba mkawa mnanibishia.
Thread imezaa matunda 😂😂😂Tatizo hujaoa hata mimi nina gar ma sina furaha sasa nioe ili tuwe mama mwenye nyumba na baba mwenye gari
Mi nimejitolea kukusaidia tu! Haya endelea kukosa furaha!Sitaki watu Desperate Kama wewe
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nn?
View attachment 2083778
Hakila jina lake linasadifu matendo!😀Kumbe wewe ni mzee wa connectionUNAHITAJI MUME/MKE au MCHUMBA? sms Wasifu wako
Wanajamvi Heshima zenu Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kupitia DM ukijielezea ** Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies, kama una mtoto/watoto (idadi) na unatamani kuunganishwa kwa mtu wa namna gani (sifa za umtakae)...www.jamiiforums.com
Humu watu sio wa kuwaamini kabisaHakila jina lake linasadifu matendo!😀
Mtu mwenye mjengo kama huo kiuhalisia hawezi kupoteza muda kufanyia watu connection za mahusiano labda nyumba iwe ya urithi lakini kwa mazingira ya utafutaji wa nchi hii yalivyokuwa magumu mpaka kufikia kumiliki mjengo huo ni wazi umejipinda sana tafsiri yake ulikuwa busy sana otherwise ni nyumba ya urithiHumu watu sio wa kuwaamini kabisa
SijaoaUmeoa/umeolewa? Kama sio ni fursa hiyo kwa watu humu
Mkuu hiyo nyumba ipo Tegeta na si Bunju B kama unavyodai. Pia ni ya kupangishwa, hukaliwa na wapangaji. Picha yake umeitoa mtandaoni, ikitangazwa kutafuta wapangaji.Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nn?
View attachment 2083778
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nn?
View attachment 2083778
Mkuu hiyo nyumba ni ya kupangishwa, hukaliwa na wapangaji. Picha yake umeitoa mtandaoni, ikitangazwa kutafuta wapangaji.
View attachment 2084459