GreatHufurahii nyumba? Au hufurahii maisha mengine kando ya hio nyumba?
Njoo kwangu single room utafurahiWakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
Acha sifa..Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?
Zitabaki kua ndotoNipe Bajeti uliyotumia kujenga, ni ndoto zangu kuishi kama hapo