Ninajiuliza kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja

Ninajiuliza kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ni kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja au eneo la kuishi. Usishangae mwenye milioni 100 kununua kiwanja kwa pesa hiyo na kufuta pesa ya kujenga taratibu.
 
Ni kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja au eneo la kuishi. Usishangae mwenye milioni 100 kununua kiwanja kwa pesa hiyo na kufuta pesa ya kujenga taratibu.
Inategemeana na mfuko wa mtu na eneo analonunua,kama ni prime area sio mbaya.Mzee wangu huwa anawashangaaga wale wanoenda kununua viwanja nje ya miji huko na kujenga,anasema yeye akienda nje ya mji ananunua shamba sio kiwanja, kapiga mzigo wake juzi kati kanunua apartment mjini.
 
Kuna mengi dada angu.

Kuna kukosa mipango
Kuna kupenda sifa
Kuna kushikishwa
Kuna gharama za juu
Kuna kukosa namna

Kwenye yote hayo yawezekana kimoja wapo kiwe sababu
 
simply potential... Kuna watu wanamaono au wanapewa taarifa juu ya potential ya eneo husika hivyo wanawekeza kwakujua mda wowote pesa zinaweza rudi.... Ndio maana akinunua hicho kiwanja kwa mil 100 within 5 years kiwanja hicho kitacost hata mil 200 au 150
 
Sijapinga hilo lakini kama una m100 kwanini usoni ur kiwanja cha m20 na kutumia m80 kujenga?
Thamani ya kiwanja hutegemea mambo mengi ikiwemo ukubwa, location, aina ya umiliki(document) ambayo kiwanja kinayo, na neighborhood

Bei ya kiwanja Kariakoo, Masaki Oysterbay na Upanga haiwezi kua sawa na bei ya Kwa Mtogole, Kigilagila au Kimara King'ongo

Waweza pata kiwanja kikubwa kwa bei ndogo kwenye outskirt ya mji lakini ikawa ni squatter ambapo unapofanya setting ya chumba chako cha kulala ndipo mwenzio anaweka choo au banda la mifugo
 
Mawazo yako ww ni yapi mbona sijakupata bado............
 
Sijapinga hilo lakini kama una m100 kwanini usoni ur kiwanja cha m20 na kutumia m80 kujenga?
Anhaaa hapo sasa nimekuelewa...

Ukiona mtu ananunua kiwanja m100 na ya kujengea hana bs huyo lazma ni mtoro toka milembe
 
Wengine wanajiuliza kwanini wanatumia hela nyingi kununua gari badala ya kiwanja.

Ni issue ya Prefferences tu.
 
Back
Top Bottom