Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuta mtu hapendi kukaa nje ya mji maana gharama ataokua anatumia kupata huduma au mahitaji yake zitarudi kulekule kwenye M100Kuna viwanja vya milioni 10-5 ingawa Biko kwenye outskirts
Kuna mtu mwingine anapenda akae eneo lenye jina kubwa so anaona bora anaunue eneo mikocheni kuliko mavurunza.Ni kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja au eneo la kuishi. Usishangae mwenye milioni 100 kununua kiwanja kwa pesa hiyo na kufuta pesa ya kujenga taratibu.
Inategemeana na mfuko wa mtu na eneo analonunua,kama ni prime area sio mbaya.Mzee wangu huwa anawashangaaga wale wanoenda kununua viwanja nje ya miji huko na kujenga,anasema yeye akienda nje ya mji ananunua shamba sio kiwanja, kapiga mzigo wake juzi kati kanunua apartment mjini.Ni kwanini watu wanatumia pesa nyingi kununua kiwanja au eneo la kuishi. Usishangae mwenye milioni 100 kununua kiwanja kwa pesa hiyo na kufuta pesa ya kujenga taratibu.
Thamani ya kiwanja hutegemea mambo mengi ikiwemo ukubwa, location, aina ya umiliki(document) ambayo kiwanja kinayo, na neighborhoodSijapinga hilo lakini kama una m100 kwanini usoni ur kiwanja cha m20 na kutumia m80 kujenga?
Anhaaa hapo sasa nimekuelewa...Sijapinga hilo lakini kama una m100 kwanini usoni ur kiwanja cha m20 na kutumia m80 kujenga?
Unaweza kununua kuwanja cha milioni 10 lakini ukawa huendani na waliokuzunguka. Unafanya Birthday party ya mtoto ukialika majirani wanakuja na hot pots.Wengine wanajiuliza kwanini wanatumia hela nyingi kununua gari badala ya kiwanja.
Ni issue ya Prefferences tu.
😀😀😀Unaweza kununua kuwanja cha milioni 10 lakini ukawa huendani na waliokuzunguka. Unafanya Birthday party ya mtoto ukialika majirani wanakuja na hot pots.