Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Kwa upande mwengine huo moto ni mipango yao binafsi ili waubadilishe huo mji wa LA kuwa smart city 2030,pia housing insurance wali cancel ili wasipate hasara pindi tu janga la moto litakapo anza.
Yaani waubadili mji kwa gharama na hasara kubwa kiasi hicho? Ikiwemo majeruhi na vifo? Hao sio bongo wanaochoma masoko
 
Kwa kipindi hiki adhabu ya Mungu wenu imekuwa kuchoma moto majengo tu ila watu wanapona? Sidhani kama mpaka sasa moto wenu umeleta vifo zaidi ya watu 50 tu

Ngoja niandike kitu hapa japo inawezekana isiwe kwa uandishi mzuri lkn natumaini nitaeleweka

Mungu huyu mnaemsifia hayupo, japo sijamaanisha hakuna Mungu kabisa, Mungu wa asili yupo ila sio huyu mnaemuongelea hapa

Bible imetumika kuuhadaa ulimwengu kuhusu Mungu, thats why kuna watu wa Elen G White wanasema kuna watu waliiteka bible kitambo wakaificha kwa lengo la kuubadili ukweli kuwa uongo

Nitatoa mifano kadhaa hapa:-

Kuhusu mwanamke, nionesheni sehem bible imemuandika vzr mwanake kwanza kabisa kwa mjibu wa bible inaeleza Mungu wenu hakuwa na mpango na mwanamke ila alipoona Adam anaboeka ndio akamfanya mwanamke na hii ilitokea mda baada ya adam kuwepo, lkn ukweli ni kwamba hakuna viumbe vina uwezo kama viumbe vyenye jinsia ya kike

Hii Dunia yenyewe tuliopo ni ya kike nendeni msome ikolojia maana ukweli wete upo huko (dunia n kiumbe na inasifa zote za kiwa kiumbe hai) japo kuna watu wanataka kututoa huko pia kuwa eti dunia ni flat na wala haizunguki lengo turudi kwa Mungu wenu huyu mwenye jinsia ya kiume (bwana) na hapa natamani siku watu wajue why bwana bwana zimekuwa nyingi na mwanamke anachukuliwa simple!? Sijasema chochote hapa msije sema nataka kumaanisha Mungu wa kweli ni mwanamke sisi Mungu wetu wa asili hatumweki kwenye jinsia yoyote kama huyu wenu (bwana)

Ubepari(captalism) Mungu wa asili hakutaka dunia iwe na matabaka dunia ilotakiwa iwe ya kutegemeana sio watu kadhaa watawale na wengine wawe watawaliwa thats why hata yeye utawala wake haupo hivyo, bible inaongelea sana ubepari kina mfalme Seleiman walikuwa na kila kitu wakati kuna kina Lazaro walikuwa apeche alolo, lkn jamaa zenu waliwafundisha shule kuhusu mifumo ya maisha kitabaka (ubepari au captalism) ni mfumo wa mwisho na umeanza hivi karibuni ikiwa wengi wenu baba za babu zenu wameshazaliwa, masuala ya kubadilishana bidhaa kwa bidhaa mpaka leo tunatumia fedha

Story za kina mfalme Seleiman kwenye bible ni agano la kale maana ake ni mda kitambo before Yesu na alipokuja kutokea Yesu mpaka sasa ni zaidi ya miaka 2000 hii inakaaje? Kwamba zamani hizo kulikuwa na captalism kweliiiiii?

Matabaka ya watu (races) Aliumbwa Adam kisha baada ya Adam kuwa mpweke Mungu wenu akamfanya Eva kutoka kwa Adam (basi tuseme wao walikuwa wazungu, sisi weusi tulipatikanaje, vp kuhusu wachina, wahindi, waarabu nk

Dini zilipatikanaje je, n mpango wa asili au kuna wahuni wachache walikaa kutaka kuipotosha dunia, vipi kuhusu vyama wa siri (secret sociaty) kina illuminat na wengine, wanaojitanabaisha kuiendesha dunia

Asili imejieleza kupitia ikolojia kila kitu kipo wazi kuna watu hawaamini kama elimu ni mfumo wa asili wanadai ni matrix, japo asili ndio chanzo cha kila kitu hakuna hata kimoja ambacho kimefanyika kisayansi hakipo kiasili

Na kwa taarifa tu sayansi ipo kwenye mambo matatu tu wanasayansi wote kikanuni wanaishu kwenye hii kitu (mawimbi, sumaku na mwanga) physics yote ipo hapo (waves, magnetic & light) hivi vyote vipo kiasili wanaosema dunia ni flat waje watuambie kupwa na kujaa kwa bahari kunatokeaje?

Bahati nzuri ni kwamba vitabu hivi havitakuwepo tena hapo baadae na asili inatuonesha maana kuna viumbe wametajwa kwenye bible vizazi vya karne ijayo hawataviona imeanza kitambo na ndio maana jamaa zenu waliichukua bible kwenda kuibadili kwa kisingizio kile cha Elen G White, ukiwa mkoani Lindi kuna sanam la mjusi mkubwa sisi hiki kizazi chetu hakijabahatika kuwaona, lkn kupotea kwa viumbe kunaendelea bado mfano huyu nyoka nawahakikishia karne mbili mbele hatakuwepo tena kwenye uso wa dunia mbaya zaidi mlisema ni mwelevu na hapo hapo asili akamnyima akili ya kujifunza kitu kipya hafundishiki yeye anakuja akiwa na akili ya moja kwa moja

Nipo naandaa makala hopelly kwa nguvu ya asili mda sio mrefu nitaanza kuisambaza
Unaunga uongo. Huna akili hata punje acha akili kubwa ikuongoze. Wanadamu wameumbwa kwa matabaka hivyohivyo Kuna watawala na watawaliwa hata mbinguni Ni hivyo tu. Wewe unataka kuondoa gep ili kila mtu aishi kivyake hiyo Ni dalili ya ushetani. Hiyo makala unayotaka kuandika kufa nayo hatuitaki.

Watu wanataka kusikia habari za uzima na sio Mambo ya asili. Wengine habari ya uzima tumezipata kwenye biblia. Wengine wamezipata kwenye Quran. Na wewe lete habari yako ya uzima tu acha ngonjera mpumbavu mkubwa maana mkiachwa kupotosha mnamadhara makubwa mshenzi wewe
 
Game plan tu hizo, watu wa kanisa wanatumia kama opportunities kuendelea kuwapiga wajinga kwa issue ambazo zimepangwa na wa U.S kwa manufaa ya U.S
Hawa sio wabongo wanaochoma masoko ili wajenge masoko
 
Utaratibu wa Allah inapkuja adhabu haichagui anaye husika na asie husika, wote mnaingia. Sababu kila mmoja anapata stahiki yake.
Hana uwezo wa kutofautisha mwenye kosa na asiye na kosa?
Maana akileta adhabu inaangamiza viumbe vingi vidogo na vikubwa. Moto unaangamiza mpaka mayai ya ndege, nyoka, kenge n.k.
 
Sasa mwaka huu moto umetokea katikati ya majira ya baridi kali hata mimi nilijiuliza kulikoni? Kumbe watu wamecheza na Mkuu wa Ulimwengu.
Picha zinaonesha majani makavu na hakuna hiyo baridi unayoisema.
 
Kumbe nchi ya uzuri ilyotabiriwa kwenye maandiko yabiblia ndo itakuwa marekani? Ambayo itatekwa nakukaliwa namfalme wakazikazini cjui itakuwa taifa gani? Mwenye ufafanuzi anifafanulie kwakina
 
Ilikuwa hivi:

Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,

Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.

Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,

Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani

Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia

Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia

Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,

Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,

Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,

BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Wapare kwa uongo
 
Mungu angekua anaoperate hivyo hakuna mtu angekua hai,
Maana at some point kila mtu ameshawahi kukufuru lakini Mungu hatuchomi.
 
Huwezi ukamdhihaki MUNGU centre of all creation,ukabaki salama
Kwahiyo Turkey walimdhihaki Mungu wakaletewa tetemeko? Na Mayote walimdhihaki wakaletewa kimbunga? Tumieni akili basi jamani au hata hizo akili hamna?
 
Back
Top Bottom