Ndomana inasemekana Mwafrika ni kiumbe ambaye yuko kwenye mchakato wa kuwa binadamu kamili, usishangae kuona hayo.Waafrika hasa watanzania wanapenda sana kufanya logical fallacy ya non-sequitur.
Wana unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Mtu hajui chanzo halisi cha moto ni nini, Anakimbilia kuhusisha na imani yake.
Mtu hajui chanzo halisi cha moto ni nini, Anakimbilia kusema na kuhitimisha kwamba ni Mungu.
Halafu anatafuta watu wakumuunga mkono kwenye mawazo yake uchwara.
Ni chuki na ujinga. Ujinga ni mzigo mzito mno kichwani.Mlima Kilimanjaro pia huwaga unawaka Moto [emoji91] lakini hutasikia watu wakisema kwamba ni Mungu
Lakini Moto ukiwaka Marekani mijitu inakimbilia kusema ni Mungu! ni Mungu! ni Mungu!
Kumbe ni chuki zao binafsi tu, dhidi ya taifa la Marekani.
Hapo kwenye waafrika na watanzania toa weka maustaadhiMoto [emoji91] ukitokea Afrika Hutasikia watanzania wakihusisha moto huo na Mungu. Wanaamini ni majanga na uzembe wa kibinadamu tu.
Lakini moto [emoji91] ukitokea Marekani, Utasikia watanzania wafia dini wakijitokeza kuhusisha moto huo na habari za Mungu.
View attachment 3205549
Chuki binafsi za waafrika watanzania dhidi ya taifa la Marekani ndizo zinapelekea watu kufanya logical fallacy ya non-sequitur.
Mtu hajui chanzo halisi cha moto wa Los Angeles ni nini, Anakimbilia kusema ni Mungu.
Kwamba huyo Mungu ndio kawasha huo moto?
Na mijinga mingine bila kuhoji ikaunga mkono hoja na kucomment kwa hisia za kidini!Hili la kumpigia Kura si kweli. Ni kwamba kwa wale wote walioshinda tunzo katika tamasha hilo hakuna aliyemshukuru Mungu, hivyo basi mtangazaji akashangaa na kusema katika washindi wote hakuna hata mmoja aliyemshukuru Mungu kwa ushindi wake. Akaendelea kwa kusema inaonekana huu mji si wa watu wa Mungu. Hivyo bwana mshana uache mara moja kupotosha watu na kusambaza taarifa za uongo ili kufanikisha azima yako.
Waafrika tuna safari ndefu mno kufikia hatua ya kuwa binadamu kamili. Kwamba ulikuwa unsikia sauti inakwambia iba mboga na kwaakili yako ukahisi ni sauti ya shetani!? Hiyo ni shida ya akili, nenda milembe please.Unaitwa malikia wa
Walipanga kukufuru tu ili kumfurahisha baba yao shetani aliyewapa utajili na umaarufu,,chakushangaza shetani naye kawakimbia ujue shetani muongo Sana kipindi Niko mtoto unasikia kabisa iba mboga bhana hakuna anayekuona Sasa ibao uone Sasa unafumwa unakula mkongoto lenyewe lisha sepa,, shetani yupo jamani
Moto ni ajali kama ajali nyingine, hakuna cha smart city wala shetani. Wahusika watakuja na report ya chanzo cha moto, tusubiriKajifunze juu ya "smart city" ndio utajua ule moto ni mpango ulioratibiwa kitaalam,Amerika akili nyingi,
Tetemeko la Bukoba nao walimdhihaki Mungu? Vita ya Sudan wamemdhihaki Mungu? Vifo vya wanawake na watoto na majanga mbalimbali ya magonjwa ya mlipuko huko Congo wamemdhihaki Mungu? Vipi kuhusu mafuriko ya Dubai na tetemeko la Turkey walimfanya nini Mungu? Tujaribu kutumia hata hiyo akili kiduchu uliyopewa na si mihemko ya kidini.Before they kept God out, he decided himself to get out, now they can leave without God. Keep it up California, keep it Los Angeles, keep it without God Hollywood.
Mungu hadhihakiwi
Una uhakika Sodoma na Gomora ilikuwepo na ilichomwa!? Ndomana nasema mwafrika ni nyani aliyechangamka.Kwani wakati anachoma Sodoma na Gomora, ilikuwaje? Kuna maovu ambayo huwa hayavumiliki mbele za Mungu ikiwa ni pamoja na kufuru pamoja na mambo ya ushoga.
Wanaokufa Congo DR kwa magonjwa ya mlipuko na vita nao wamemkosea nini Allah!? Mbona mnachagua adhabu za allah, Marekanj ni allah ila Somalia, Sudan, Congo DR, Turkey na Mayote ni ajali za kawaida!!!!!!!????Kama hawajafa basi chamoto wamekiona
Mbona kama una hasira sana kaka? Unalinganisha vitu 2 tofauti. Tetemeko, Vita, mafuriko na moto. Masuala ya dini ni masuala ya imani so you choose kuamini au kuto kuamini and it's OK with your choice. Hakuna anae kulazimisha kuamini unacho kitaka, tunaishi kwenye ulimwengu wa demokrasia. Kwamba huamini kwamba wale watu walipiga KURA na Mungu wakampa 0?Tetemeko la Bukoba nao walimdhihaki Mungu? Vita ya Sudan wamemdhihaki Mungu? Vifo vya wanawake na watoto na majanga mbalimbali ya magonjwa ya mlipuko huko Congo wamemdhihaki Mungu? Vipi kuhusu mafuriko ya Dubai na tetemeko la Turkey walimfanya nini Mungu? Tujaribu kutumia hata hiyo akili kiduchu uliyopewa na si mihemko ya kidini.
Na ule wa Mayote na DR Congo ni ukuu wa nani? Janga la moto mkubwa na mkali huko LA limeua watu 24 tu lakini janga la gari moja tu la mafuta pale Moro liliua zaidi ya watu 50! Sasa nijibu, adhabu ya Mungu hapo ni ipi kati ya L.A au Moro?Lakin pamoja na haya yote lakin bado kuna watu hawaamin kama ni ukuu wa mungu
Tazama:Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Kwamba moto pekee ndo adhabu ya Mungu ila tetemeko, magonjwa ya mlipuko na kimbunga siyo Mungu? Basi ngoja nikubaliane na wewe! Kwahiyo ajali ya Moro iliyoua zaidi ya watu 50 kwa moto ilikuwa adhabu ya Mungu? Kumbuka LA wamekufa watu 24 tu na Moro lilikuwa gari moja tu la mafuta lakini wakafa zaidi ya 50!Mbona kama una hasira sana kaka? Unalinganisha vitu 2 tofauti. Tetemeko, Vita, mafuriko na moto. Masuala ya dini ni masuala ya imani so you choose kuamini au kuto kuamini and it's OK with your choice. Hakuna anae kulazimisha kuamini unacho kitaka, tunaishi kwenye ulimwengu wa demokrasia. Kwamba huamini kwamba wale watu walipiga KURA na Mungu wakampa 0?
kWanza hujiuliz huo moto wa carifornia imekuwaje umeshindikana kuzimwa na ni vipi unaweza vuka nyumba moja kwenda nyingine wakat nyumba zipo kwenye mpangilio mzurNa ule wa Mayote na DR Congo ni ukuu wa nani? Janga la moto mkubwa na mkali huko LA limeua watu 24 tu lakini janga la gari moja tu la mafuta pale Moro liliua zaidi ya watu 50! Sasa nijibu, adhabu ya Mungu hapo ni ipi kati ya L.A au Moro?
Ni Calfornia na si Carifornia!kWanza hujiuliz huo moto wa carifornia imekuwaje umeshindikana kuzimwa na ni vipi unaweza vuka nyumba moja kwenda nyingine wakat nyumba zipo kwenye mpangilio mzur
Kwamba na wewe una amini idadi ya waliokufa ni 24 tu? Unataka tutumie akili kuhusu kupinga uwepo au adhabu za Mungu but the same you hutaki kuhusisha akili yako kupitia taarifa za serikali ambazo zimechujwa; interesting. Anyway, nimesoma Biblia mara kadhaa, vita, matetemeko ya ardhi no moja ya mambo yaliotabiriwa, yapo majanga kadhaa ambayo tunayapata kwasababu either ya uzembe, ujinga, lakini yapo ambayo yanahusisha Mungu direct kama adhabu zake kwa wanadamu. Usome uzi tena, achana na hayo mambo ya Mungu yaliowekwa na mleta uzi, kwamba wanaweka fire hydrant but zina fail, wanachimba hadi mitaro ili moto ukifika hapo ukose support uzime (kumbuka hizo ni moja ya njia za kitaalamu za kuzima moto ) but cheche zinaruka upande wa pili na kusababisha janga upya; soma uzi zaidi, kwamba the same USA waliweza kuzima moto mkubwa kule Brazil, leo wanashindwa kwao. Uliposema kuhusu akili nilidhani ungejikita kwenye kujibu hayo badala ya General statements unazo zitoa hapaKwamba moto pekee ndo adhabu ya Mungu ila tetemeko, magonjwa ya mlipuko na kimbunga siyo Mungu? Basi ngoja nikubaliane na wewe! Kwahiyo ajali ya Moro iliyoua zaidi ya watu 50 kwa moto ilikuwa adhabu ya Mungu? Kumbuka LA wamekufa watu 24 tu na Moro lilikuwa gari moja tu la mafuta lakini wakafa zaidi ya 50!
Shida yenu mnachangia kwa chuki na mihemko bila kuhusisha akili, au labda akili zenyewe hamna!
Hata mimi nimejiuliza sana swali hilo. Moto unao waka huko unachoma kama wa mbugani au misituni tena kipindi cha nyasi kavu........ Vivyo hivyo una waka na kusambaa kwenye makazi na majumba. Kwa teknolojia anayomiliki mmarekani naamini usingesambaa hivyo.... Mimi bado naamini ni Mwenyezi Mungu anatukumbusha kitu juu ya uwepo wake.kWanza hujiuliz huo moto wa carifornia imekuwaje umeshindikana kuzimwa na ni vipi unaweza vuka nyumba moja kwenda nyingine wakat nyumba zipo kwenye mpangilio mzur