Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia



Unaweza kuwa sahihi kulingana na masuala ya kiimani ya "Dogma", lakini kwa upande mwingine wa kisayansi unaweza usiwe sahihi.

But, all in all, suala la Mabadiliko ya Tabia-nchi na Culture yao ya Utunzaji au Uhifadhi wa Mazingira kwa upande mwingine yamechangia kwa kiasi kikubwa Sana kuongezeka kwa ukali wa janga hili la moto huko Loss Angeles, California Marekani. Therefore, a Global climate change and environmental impacts playing a key role in escalating this tragedy of the fire crisis in LA.
 
Ha ha ha..... Tutasikia stories nyingi sana za kubumba. Cheche inapaaa......inarukia jengo jingine....🤣🤣🤣🤣🤣 JF INA WATU UKIKAA HUMU UNACHEKA TU
Ndio haohao kipindi cha COVID walikuwa wanaisema serikali kuwa haitoi takwimu halafu wao wakawa wanatoa takwimu zao ati walifika mpk 500+ waliokufa kwa covid!, ajabu mtaani huoni hivyo vifo!.

Kuna watu ni watu wazima lkn akili zao ni vichekesho sana!, akili zao zimekaa kupinga kila jambo, Kutengeneza nadharia za ajabu ajabu tu!.
Mengine tunayasoma tunayaacha yapite mazwazwa ndo wanashikwa akili..
 
...Kuna Timu hapa Nyumbani ilidai kuwa ni Nzuri Sana kiasicha Mashabiki Kumuomba Mungu awaletee Malaika wacheze nao...Kikafuliliza vipigo vya 3, 3...Mpaka Timu ikashika Adabu !! [emoji1]
 
Ha ha ha..... Tutasikia stories nyingi sana za kubumba. Cheche inapaaa......inarukia jengo jingine....🤣🤣🤣🤣🤣 JF INA WATU UKIKAA HUMU UNACHEKA TU

Hata hao yanayowatokea haya mpaka sasa ni kama wewe tu hawajaamini kama hizi story ni za kweli ukichukulia mzungu ni kiumbe anayejiona ana akili kubwa sana,

Tujipe muda tuone and hata ikitokea ikawa jinsi wanavyotaka wasioamini uwepo wa Mungu,kwa tukio hilo wengi watafikiri mara mbili mbili juu ya mienendo yao.
 
Kwa kipindi hiki adhabu ya Mungu wenu imekuwa kuchoma moto majengo tu ila watu wanapona? Sidhani kama mpaka sasa moto wenu umeleta vifo zaidi ya watu 50 tu

Ngoja niandike kitu hapa japo inawezekana isiwe kwa uandishi mzuri lkn natumaini nitaeleweka

Mungu huyu mnaemsifia hayupo, japo sijamaanisha hakuna Mungu kabisa, Mungu wa asili yupo ila sio huyu mnaemuongelea hapa

Bible imetumika kuuhadaa ulimwengu kuhusu Mungu, thats why kuna watu wa Elen G White wanasema kuna watu waliiteka bible kitambo wakaificha kwa lengo la kuubadili ukweli kuwa uongo

Nitatoa mifano kadhaa hapa:-

Kuhusu mwanamke, nionesheni sehem bible imemuandika vzr mwanake kwanza kabisa kwa mjibu wa bible inaeleza Mungu wenu hakuwa na mpango na mwanamke ila alipoona Adam anaboeka ndio akamfanya mwanamke na hii ilitokea mda baada ya adam kuwepo, lkn ukweli ni kwamba hakuna viumbe vina uwezo kama viumbe vyenye jinsia ya kike

Hii Dunia yenyewe tuliopo ni ya kike nendeni msome ikolojia maana ukweli wete upo huko (dunia n kiumbe na inasifa zote za kiwa kiumbe hai) japo kuna watu wanataka kututoa huko pia kuwa eti dunia ni flat na wala haizunguki lengo turudi kwa Mungu wenu huyu mwenye jinsia ya kiume (bwana) na hapa natamani siku watu wajue why bwana bwana zimekuwa nyingi na mwanamke anachukuliwa simple!? Sijasema chochote hapa msije sema nataka kumaanisha Mungu wa kweli ni mwanamke sisi Mungu wetu wa asili hatumweki kwenye jinsia yoyote kama huyu wenu (bwana)

Ubepari(captalism) Mungu wa asili hakutaka dunia iwe na matabaka dunia ilotakiwa iwe ya kutegemeana sio watu kadhaa watawale na wengine wawe watawaliwa thats why hata yeye utawala wake haupo hivyo, bible inaongelea sana ubepari kina mfalme Seleiman walikuwa na kila kitu wakati kuna kina Lazaro walikuwa apeche alolo, lkn jamaa zenu waliwafundisha shule kuhusu mifumo ya maisha kitabaka (ubepari au captalism) ni mfumo wa mwisho na umeanza hivi karibuni ikiwa wengi wenu baba za babu zenu wameshazaliwa, masuala ya kubadilishana bidhaa kwa bidhaa mpaka leo tunatumia fedha

Story za kina mfalme Seleiman kwenye bible ni agano la kale maana ake ni mda kitambo before Yesu na alipokuja kutokea Yesu mpaka sasa ni zaidi ya miaka 2000 hii inakaaje? Kwamba zamani hizo kulikuwa na captalism kweliiiiii?

Matabaka ya watu (races) Aliumbwa Adam kisha baada ya Adam kuwa mpweke Mungu wenu akamfanya Eva kutoka kwa Adam (basi tuseme wao walikuwa wazungu, sisi weusi tulipatikanaje, vp kuhusu wachina, wahindi, waarabu nk

Dini zilipatikanaje je, n mpango wa asili au kuna wahuni wachache walikaa kutaka kuipotosha dunia, vipi kuhusu vyama wa siri (secret sociaty) kina illuminat na wengine, wanaojitanabaisha kuiendesha dunia

Asili imejieleza kupitia ikolojia kila kitu kipo wazi kuna watu hawaamini kama elimu ni mfumo wa asili wanadai ni matrix, japo asili ndio chanzo cha kila kitu hakuna hata kimoja ambacho kimefanyika kisayansi hakipo kiasili

Na kwa taarifa tu sayansi ipo kwenye mambo matatu tu wanasayansi wote kikanuni wanaishu kwenye hii kitu (mawimbi, sumaku na mwanga) physics yote ipo hapo (waves, magnetic & light) hivi vyote vipo kiasili wanaosema dunia ni flat waje watuambie kupwa na kujaa kwa bahari kunatokeaje?

Bahati nzuri ni kwamba vitabu hivi havitakuwepo tena hapo baadae na asili inatuonesha maana kuna viumbe wametajwa kwenye bible vizazi vya karne ijayo hawataviona imeanza kitambo na ndio maana jamaa zenu waliichukua bible kwenda kuibadili kwa kisingizio kile cha Elen G White, ukiwa mkoani Lindi kuna sanam la mjusi mkubwa sisi hiki kizazi chetu hakijabahatika kuwaona, lkn kupotea kwa viumbe kunaendelea bado mfano huyu nyoka nawahakikishia karne mbili mbele hatakuwepo tena kwenye uso wa dunia mbaya zaidi mlisema ni mwelevu na hapo hapo asili akamnyima akili ya kujifunza kitu kipya hafundishiki yeye anakuja akiwa na akili ya moja kwa moja

Nipo naandaa makala hopelly kwa nguvu ya asili mda sio mrefu nitaanza kuisambaza
 
Ha ha ha..... Tutasikia stories nyingi sana za kubumba. Cheche inapaaa......inarukia jengo jingine....🤣🤣🤣🤣🤣 JF INA WATU UKIKAA HUMU UNACHEKA TU
Hujasikia kwamba moto ulikuwa unasambazwa kwa kasi na "Santa Anna winds"? Hata kwenye videos nyingi cheche zinaonekana kiasi kwamba inasemekana ni moto walioutengeneza wenyewe
 
Acha wapate wanachostahili. Kosa la kwanza ni kumkosea Mungu kumlinganisha na wanadamu na kumpigia kura, Mungu sio mtu.
 
Reactions: ABJ
Lile tukio linasikitisha sana, halafu yule binti baada ya kusema ile kauli, karibia ukumbi mzima ukaangua Kicheko.

Yaani ile wanajua nini wanachokifanya.

Mungu wasamehe hawa watu.
Ila nlijiuliza, matatizo mengine ni ya kujitaftia, Mungu alikuwa anahusika nini kwenye tuzo za Golden globes mpaka atajwe? Tena yule binti alitaja kabisa God, creator of the universe, kusisitiza kua hakumaanisha miungu mingine, bali muumbaji Mwananchi B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…