Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Ndio haohao kipindi cha COVID walikuwa wanaisema serikali kuwa haitoi takwimu halafu wao wakawa wanatoa takwimu zao ati walifika mpk 500+ waliokufa kwa covid!, ajabu mtaani huoni hivyo vifo!.Ha ha ha..... Tutasikia stories nyingi sana za kubumba. Cheche inapaaa......inarukia jengo jingine....🤣🤣🤣🤣🤣 JF INA WATU UKIKAA HUMU UNACHEKA TU
...Kuna Timu hapa Nyumbani ilidai kuwa ni Nzuri Sana kiasicha Mashabiki Kumuomba Mungu awaletee Malaika wacheze nao...Kikafuliliza vipigo vya 3, 3...Mpaka Timu ikashika Adabu !! [emoji1]Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars[emoji93] ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Ha ha ha..... Tutasikia stories nyingi sana za kubumba. Cheche inapaaa......inarukia jengo jingine....🤣🤣🤣🤣🤣 JF INA WATU UKIKAA HUMU UNACHEKA TU
Kwakuwa tuna roho kama Mungu ila hatuna mwili kama Mungu. Hiyo ndo kwa mfano wake.Ila tumeumbwa kwa mfano wake
Thibitisha uwepo wakeMungu yupo,tusifanye dhihaka.
Hujasikia kwamba moto ulikuwa unasambazwa kwa kasi na "Santa Anna winds"? Hata kwenye videos nyingi cheche zinaonekana kiasi kwamba inasemekana ni moto walioutengeneza wenyeweHa ha ha..... Tutasikia stories nyingi sana za kubumba. Cheche inapaaa......inarukia jengo jingine....🤣🤣🤣🤣🤣 JF INA WATU UKIKAA HUMU UNACHEKA TU
Ila nlijiuliza, matatizo mengine ni ya kujitaftia, Mungu alikuwa anahusika nini kwenye tuzo za Golden globes mpaka atajwe? Tena yule binti alitaja kabisa God, creator of the universe, kusisitiza kua hakumaanisha miungu mingine, bali muumbaji Mwananchi BLile tukio linasikitisha sana, halafu yule binti baada ya kusema ile kauli, karibia ukumbi mzima ukaangua Kicheko.
Yaani ile wanajua nini wanachokifanya.
Mungu wasamehe hawa watu.
MmhChanzo ni kama ule moto ulioteketeza Sodoma na Gomorah..