Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Thibitisha sio porojo nyingi onyesha mungu ni huyu ila tumjue sio blah blahUna akili nina hakika hill na nikikuuliza huwezi kusema huna kwakuwa unajua kwa hakika unazo.. Ila nitakapokuambia nioneshe ama nithibitishie akili zako sijui kama utaweza
Nina akili ndio maana nakujibu na unanielewa na wewe thibitisha huyo mungu yupoje sio blah blah zako za kishambaNi mjadala wa hoja hatuko uswazi hapa.. Thibitisha kama una akili na kama huna pia sema tu
Punguza panic utaelimishwa kwa hekima.. Umejibu vizuri sana kwamba una akili.. Naomba nioneshe akili zako.. ZilipoNina akili ndio maana nakujibu na unanielewa na wewe thibitisha huyo mungu yupoje sio blah blah zako za kishamba
akili ni Nini?Punguza panic utaelimishwa kwa hekima.. Umejibu vizuri sana kwamba una akili.. Naomba nioneshe akili zako.. Zilipo
Akili ni Nini?Punguza panic utaelimishwa kwa hekima.. Umejibu vizuri sana kwamba una akili.. Naomba nioneshe akili zako.. Zilipo
Akili nini jibu hili swali sio blah blahUmesema unazo halafu unaniuliza tena akili ninini 😂😂😂
Jinga Hilo🤣🤣🤣Yaaani waliopo USA bado hawajajua chanzo cha Moto. Aliyepo Tandale kwa Mtogolwe anajua chanzo cha moto.... Hiii nchi hii.....kazi kweli kweli.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kweli ndugu. Mungu hadhihakiwi. Ukimbipu, anakupigiaumenikumbusha habari ya Sodoma na gomora enzi za Luti....Tubuni na kuiamini Injili aisee...
This time kazi wanayo.....Watajijua wenyewe siwafuatilii kivile
Watu kama nyie huwa hamkosekani katika jamii. Mshana amejieleza vizuri sana. Lakini inaonekana wewe unataka kuendeleza dhihaka kwa Mungu Mkuu aliyeziumba Mbingu na ardhi.Yaaani waliopo USA bado hawajajua chanzo cha Moto. Aliyepo Tandale kwa Mtogolwe anajua chanzo cha moto.... Hiii nchi hii.....kazi kweli kweli.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mfia dini na ushirikina katika ubora wake.Unga mwana unga mwana Cha muhimu ka mantiki kaonekane kapo....
Mpaka unakuja kuzima hasara na madhara yake vitaacha kumbukumbu ya milele.. Na hakuna kampuni ya bima itakayoweza kufidia hizo hasara..This time kazi wanayo.....
Na nimepita habari huko usatoday wanasema huu ndo moto mkubwa zaidi katika historia ya california.....