Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Una akili nina hakika hill na nikikuuliza huwezi kusema huna kwakuwa unajua kwa hakika unazo.. Ila nitakapokuambia nioneshe ama nithibitishie akili zako sijui kama utaweza
Thibitisha sio porojo nyingi onyesha mungu ni huyu ila tumjue sio blah blah
 
Ni mjadala wa hoja hatuko uswazi hapa.. Thibitisha kama una akili na kama huna pia sema tu
Nina akili ndio maana nakujibu na unanielewa na wewe thibitisha huyo mungu yupoje sio blah blah zako za kishamba
 
Nina akili ndio maana nakujibu na unanielewa na wewe thibitisha huyo mungu yupoje sio blah blah zako za kishamba
Punguza panic utaelimishwa kwa hekima.. Umejibu vizuri sana kwamba una akili.. Naomba nioneshe akili zako.. Zilipo
 
umenikumbusha habari ya Sodoma na gomora enzi za Luti....Tubuni na kuiamini Injili aisee...
Ni kweli ndugu. Mungu hadhihakiwi. Ukimbipu, anakupigia

Wagalatia 6:7
[7]Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
 
Yaaani waliopo USA bado hawajajua chanzo cha Moto. Aliyepo Tandale kwa Mtogolwe anajua chanzo cha moto.... Hiii nchi hii.....kazi kweli kweli.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watu kama nyie huwa hamkosekani katika jamii. Mshana amejieleza vizuri sana. Lakini inaonekana wewe unataka kuendeleza dhihaka kwa Mungu Mkuu aliyeziumba Mbingu na ardhi.
 
This time kazi wanayo.....
Na nimepita habari huko usatoday wanasema huu ndo moto mkubwa zaidi katika historia ya california.....
Mpaka unakuja kuzima hasara na madhara yake vitaacha kumbukumbu ya milele.. Na hakuna kampuni ya bima itakayoweza kufidia hizo hasara..
 
Back
Top Bottom