Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Mungu gani? Kusemasema tu "Mungu" bila ya kum define hakuna maana yoyote.

Kuhusu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote,Mungu huyo, kwa sifa zake hizo, hatakiwi kuunguza nyumba hata moja, sembuse zote hizi.

Moto huu unaonesha Mungu huyo hayupo, hauoneshi Mungu huyo yupo.
 

Baada ya miaka kumi patarudi kama palivokua.
Kumi Ming
 
Watu kama nyie huwa hamkosekani katika jamii. Mshana amejieleza vizuri sana. Lakini inaonekana wewe unataka kuendeleza dhihaka kwa Mungu Mkuu aliyeziumba Mbingu na ardhi.
Acha ujinga. Kuna dhihaka gani kwa Mungu hapo? Ameweka ushahidi gani wa aliyoyasema? Wataalamu wapo USA hawajui chanzo cha moto wewe upo umekaa hapo kwa wifi yako mnauza vitumbua unaelezea chanzo cha moto kwa stories tu za mitaani hapo Buguruni kwa Mnyamani? Mungu alitupa akili tuzitumie tusiwe maboya.
 
Ule moto ni wa ajabu unaunguza nyumba baada ya nyumba,ingekuwa msitu sawa maana miti inakuwa imekaribiana,ila moto unavuka kutoka nyumba moja kwenda nyumba nyingine,huu ni moto kama mtu kawasha kiberiti paungue kote
 
Sawa ndugu. Wewe ni mwerevu, ukiwa hapo sijui Oystabay au Masaki? Ukiwa na biashara kubwa inayokuingizia mamilioni. Endelea kula maisha na werevu wako.
 
Picha lilianza tangu mwanzo kitendo cha kumuweka kwenye list kumshindanisha Na wanadamu tayar ilikua Ni chukizo kubwa Sana mbele za Mungu
 
Nabii wa wawasabato nae alishaona
 

Attachments

  • Screenshot_20250117_173215_Facebook.jpg
    405.2 KB · Views: 1
Kwa kuwa wamemkataa Mungu wa kweli, na yeye ameamua kuwakaa.
 
Hii tuilinganishe na kile tunasoma kwenye Biblia kuhusu Sodoma na Gomora. Mji uliunguzwa ukawa majivu. Sasa Mungu kawaonesha Wamarekani Kwamba hadhihakiwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…