Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What is confused? How?Twakupa muda kwasasa
Mungu gani? Kusemasema tu "Mungu" bila ya kum define hakuna maana yoyote.Kwa mara nyingine
Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Repeat ur top comment what yo wrote.What is confused? How?
Aya bro Mshana Jr thibitisha hoja YakoMungu gani? Kusemasema tu "Mungu" bila ya kum define hakuna maana yoyote.
Kuhusu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote,Mungu huyo, kwa sifa zake hizo, hatakiwi kuunguza nyumba hata moja, sembuse zote hizi.
Moto huu unaonesha Mungu huyo hayupo, hauoneshi Mungu huyo yupo.
What in that comment is confused? And how is that confused?Repeat ur top comment what yo wrote.
Siyo Kila mtu ana jicho la tatu, ( neema ya roho wa Mungu)umeunganisha dot vzur japo wenyewe nahc hawajatoa taarifa kuhusu chanzo cha moto.
Watu wanajibu kutokana na imani zao za kidini wala hawafikirii na kujibu kwa logic na reasoning.Hii Thinking ya Mshana ni ya Ovyo sana, Hata members wengi wanaochangia Pia nashaka na Uwezo wao wa Kufikiria
You sound stupidKwa hivyo huyo Mungu ana endeshwa kwa emotions na feelings?
Akiona anadhihakiwa anapandisha hasira kulipiza kisasi kwa viumbe wake mwenyewe.
Akiona anatukuzwa na kuabudiwa ndio anafurahi.
Basi huyo Mungu hana tofauti na wanadamu maana ana endeshwa kwa mihemko ya kihisia.
That comment has translated ur brain the way yo thinkWhat in that comment is confused? And how is that confused?
You are Gullible and halfwit bastard.You sound stupid
You are making a claim without valid evidence presented in a logical manner to substantiate it.That comment has translated ur brain the way yo think
U are distracted.
Watu wanajibu kutokana na imani zao za kidini wala hawafikirii na kujibu kwa logic na reasoning.
Halafu watu hawahawa ndio wana amini Mungu ni roho.
Sasa hiyo roho ya Mungu inaendeshwa kwa mihemko ya kihisia kama binadamu.
Huyo Mungu akidhihakiwa anapandisha hasira kama binadamu. Halafu analipiza kisasi.
Halafu tena Mungu huyohuyo Akitukuzwa anafurahi kama binadamu...😄😄
Inaonekana huyo Mungu anapenda kiki na misifa ya kutukuzwa na kuogopwa kama viongozi wa serikali.
I once told you, God exists only in your head.Life is spiritual and God exist Nigga
. God doesn't exist.
- God exist
- Life is spiritual
I was giving yo that message I don't want to make an argument, let it be so....Build a logically coherent case against that argument, if you even know what a logically coherent case is.