Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huyo Mungu kwa nini aliumba binadamu wasiojua watendalo?Mungu tu akawasamehe maana hawajui walitendalo!
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu watakaojua watendayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mungu kwa nini aliumba binadamu wasiojua watendalo?Mungu tu akawasamehe maana hawajui walitendalo!
MATUKIO YA SIKU YA MWISHOKwa kuwa wamemkataa Mungu wa kweli, na yeye ameamua kuwakaa.
Nabii wa wawasabato nae alishaona
AsiliSio nguvu ya asili sema Mungu
Vipi kama kuna mtu alichukizwa na hayo matendo akaamua kuchoma mji!? Kati ya waliomdhihaki Mungu ni wangapi wameathiriwa na hilo janga?Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars[emoji93] ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Your intellectually famished mind is incapable of raising a logical argument against the meticulously stated and intricately sourced problem of evil that eluded giants of philosophy such as Alvin Plantinga and Pope Francis.I was giving yo that message I don't want to make an argument, let it be so....
Dah shukurani mzee labda vijana wanishi sanaMungu sio mwili kuhitaji ithibati za kiumbe kiitwacbo binadamu
FuatiliaSijafuatilia hili
Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068 Wangekufa waliokufuru basi
Alitumia moto gani kuuchoma huo mji.. Kwanini umeshimdikana kuzima na kusababisha madhara yote YaleVipi kama kuna mtu alichukizwa na hayo matendo akaamua kuchoma mji!? Kati ya waliomdhihaki Mungu ni wangapi wameathiriwa na hilo janga?
Ukubwa/ukali wa moto kwa mji kama ule unasababishwa na mambo mengi ikiwemo miundombinu ya mabomba ya gesi za majumbani. Ndomana ilikuwa rahisi kuzima moto wa Amazon kuliko huo wa mjini unaochochewa na mambo mengi.
Mkuu Acha kabisa Hii level ya Thinking ya hawa Members humu Jamvini inaogopesha sana, Kama kweli Mungu tunaemhubiri anakuwa Emotional driven Kiasi ichi basi Mungu huyo hana sifa kabisa Tunazompatia na Atakuwa wa Ovyo sana Kama anaangamiza Mamia ya watu na Mali zao kisa tu Kikundi cha wachache kilichomzihaki Basi Mungu huyo Ni waajabu sana sanaWatu wanajibu kutokana na imani zao za kidini wala hawafikirii na kujibu kwa logic na reasoning.
Halafu watu hawahawa ndio wana amini Mungu ni roho.
Sasa hiyo roho ya Mungu inaendeshwa kwa mihemko ya kihisia kama binadamu.
Huyo Mungu akidhihakiwa anapandisha hasira kama binadamu. Halafu analipiza kisasi.
Halafu tena Mungu huyohuyo Akitukuzwa anafurahi kama binadamu...😄😄
Inaonekana huyo Mungu anapenda kiki na misifa ya kutukuzwa na kuogopwa kama viongozi wa serikali.
Msiwe WAJINGA kiasi hiki na kupelekwa na wazungu. Hakuna kitu "Mabadiliko ya Tabia ya nchi" kina exist katika uhalisia.Unaweza kuwa sahihi kulingana na masuala ya kiimani ya "Dogma", lakini kwa upande mwingine wa kisayansi unaweza usiwe sahihi.
But, all in all, suala la Mabadiliko ya Tabia-nchi na Culture yao ya Utunzaji au Uhifadhi wa Mazingira kwa upande mwingine yamechangia kwa kiasi kikubwa Sana kuongezeka kwa ukali wa janga hili la moto huko Loss Angeles, California Marekani. Therefore, a Global climate change and environmental impacts playing a key role in escalating this tragedy of the fire crisis in LA.
Binafsi naona wewe ndio mjinga.Msiwe WAJINGA kiasi hiki na kupelekwa na wazungu. Hakuna kitu "Mabadiliko ya Tabia ya nchi" kina exist katika uhalisia.