Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huhitajiki kuhusisha physical thing na kitu cha kufikirika usichoweza kuthibitisha.Huhitajiki kudhihaki usichokijua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huhitajiki kuhusisha physical thing na kitu cha kufikirika usichoweza kuthibitisha.Huhitajiki kudhihaki usichokijua.
Binafsi naona wewe ndio mjinga.
Jamaa kaelezea kitu ambacho kipo na kinaweza kuwa ndio sababu.
Sema wewe unaamini chanzo ni nini na unafahamu nini maana ya mabadiliko ya tabianchi?
Wewe unavyokuwa mjinga juu ya kitu fulani ? Huwa umetwnzwa nguvu au ni uzembe wako na kupuuzia mambo ?Huyo Mungu kwa nini aliumba binadamu wasiojua watendalo?
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu watakaojua watendayo?
Hakuna mola aliyetuumba.Wewe unavyokuwa mjinga juu ya kitu fulani ? Huwa umetwnzwa nguvu au ni uzembe wako na kupuuzia mambo ?
Mola ametuumba akatupa na ala za kutufikisha katika malengo kivindo, kauli na kimaana.
Ndio maana kuwa mjinga ni maamuzi yako, na ndivyo ilivyo katika mengine.
Kwahiyo Allah alipotuumba alijua yote haya na hayatokei ila mpaka yeye atake.
Mkuu Acha kabisa Hii level ya Thinking ya hawa Members humu Jamvini inaogopesha sana, Kama kweli Mungu tunaemhubiri anakuwa Emotional driven Kiasi ichi basi Mungu huyo hana sifa kabisa Tunazompatia na Atakuwa wa Ovyo sana Kama anaangamiza Mamia ya watu na Mali zao kisa tu Kikundi cha wachache kilichomzihaki Basi Mungu huyo Ni waajabu sana sana
Hakuna mola aliyetuumba.
Binadamu Wanazaliwa.Thibitisha hilo, na utuambie imekuwaje tukawa hivi tulivyo.
Binadamu Wanazaliwa.
Hawaumbwi.
Wewe unayedai kwamba binadamu wanaumbwa, Ndio ulete uthibitisho hapa.
Leta uthibitisho hapa kwamba binadamu waliumbwa
When rational fails we turn to spirituality...
By the way kama huyo Mungu waliyempa Sifuri anaghadhabu na visasi kiasi hiki nadhani walikosea wangempa kabisa Negative.., na wako sawa kutaka kukaa nae mbali kabisa.
Thibitisha sio porojo nyingi onyesha mungu ni huyu ila tumjue sio blah blah
Nenda milembe kama hujui Ili kitu kiwepo kinahitaji niniIli kitu kiwepo kina hitaji nini na nini ?
Yaaani waliopo USA bado hawajajua chanzo cha Moto. Aliyepo Tandale kwa Mtogolwe anajua chanzo cha moto.... Hiii nchi hii.....kazi kweli kweli.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani we nyani unasema mzungu lofa hii Kali🤣🤣🤣Kwa elimu hili ni jambo la kawaida. Wazungu wengi ni WAJINGA, kuanzia katika uandishi wa Historia, kufikia hitimisho ya mambo kadha wa kadha.
Nenda milembe kama hujui Ili kitu kiwepo kinahitaji nini
We na mzungu nani lofa
Nenda milembe utajulishwaNimekuuliza hivi sababu ulichokiandika kunaonyesha wazi hujui kitu kiwepo kinahitaji nini na nini.
Unatakiwa utulize akili katika mijadala kama hii, usiwe na mihemko.
Nenda milembe utajulishwa
We itakua umedataHuwezi kunilinganisha na mzungu yoyote ambaye hana dini kwa akili na ufahamu juu ya mambo haya, wewe kama una hoja iwekw hapa.
We itakua umedata
Thibitisha uwepo wa Adamu na Hawa, Sio kuleta hadithi uchwara za kwenye maandiko ya kidini.Hili ndio tatizo ambalo huwa nawaambia Kila siku, mnajadili mambo msio kuwa na elimu nayo.
Kwahiyo mchakato mpaka mwanadamu anakuwepo inakuwaje ?
Uumbwaji au uumbaji upo wa namna tatu.
1. Uumbwaji wa Adamu na Hawa.
2. Uumbwaje wa sisi kuuzaliwa.
3. Uumbwaji wa neno.
Sharti la uumbwaji ni mchakato, angalia umbile la mwanadamu linakuwaje mpaka anazaliwa.
Kuzaliwa ni tokeo la mwisho baada ya uumbaji kufanyika.