Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Umegundua nini katika hii dunia hadi useme wazungu ni wajinga? wakati kila kitu unachotumia wamekigundua wao?Kwa elimu hili ni jambo la kawaida. Wazungu wengi ni WAJINGA, kuanzia katika uandishi wa Historia, kufikia hitimisho ya mambo kadha wa kadha.