Ninakemea uongo, uzushi na fitna kwa Rais Samia. Wote mnaokosoa hamtafanikiwa

Sasa ni rasmi wewe ni Zuzu tu kama mazuzu wakubwa wa Lumumba kina Jingalao na Elitwege. Kwa hiyo katiba inataka Rais akosolewe na Wabunge pekee? Weka Ibara hapa tuisome.
Kasema mawaziri, huna akili wewe? Ukisoma Hadi wapi?
 
Una dhana mbaya ya kukosoa: kukosoa maana yake (kwa mtazamo wangu) ili 'bad' iwe 'good', 'good' iwe 'better' na 'better' iwe 'best'. Ni kama mwanfunzi shuleni. Kwa kawaida mwanafunzi anayefikisha maksi 50 kwa mia amefaulu. Lakini unaweza kumhitimiza mwanfunzi anayepata wastani wa 50 aweze kupata walau 60, akipata 60 utamhimiza apate 70, akipata 70 utamhimiza apate 80, akipata 80 utamhimiza apate 90 na akipata 90 utamhimiza apate 100 na hata akipata 100 utamhimiza aangalie asipate chini 100 - yaani apate 100+. Kumbe hata kama kiongozi akifanya vizuri anaweza kukosolewa aendelee kufanya vizuri zaidi, kuliko kunyamaza kwani anaweza kujisahau akarudi nyuma. Mimi ndivyo huwa naona ukosoaji na hasa unaojenga au unaomfanya mtu aboreshe utendaji wake.
 
Nashauri serikali itunge sheria ngumu zaidi kuwabana hawa wanaotukana viongozi mitandaoni,,aswa hawa ambao kila anachofanya Rais wao wanatukana na kubeza mitandaoni,,itungwe sheria ngumu zaidi ambayo mtu akishikwa iwe jela maisha au faini kubwa,,maana uhuru aliotupa Rais wakumkosoa tunautumia vibaya kwa kutoa kashfa na matusi,
 
Kweni kutukana Raia wa kawaida Sheria inasemaje? Sheria ni Sheria kuendelea kutunga utitiri wa Sheria ambazo nyingi hazitekelezeki ni ujinga
 
Wewe unaona ni sahihi pesa ya umma kuchezewa? Rais mstaafu anatumia gari na kila kitu cha umma mpk atakapo kufa, kama alikuwa anapata shida gari ni ndefu kwanini asibadilishiwe au kununua yeye mwenyewe ama kununuliwa na mtoto wake?
Hela ya umma kumnunulia raisi mustafu gari inayomfaa ni kuichezea? How old are you?
Hebu acha mizaha!

Mtu ambaye ameitumikia nchi kwa nafasi ya raisi siyo raia wa kawaida. Acheni kulalamika kwa pet issues ambazo hazina maana!
 
We punguani unajua nini zaidi ya kuandika upuuzi. Mil 450 ya umma ni ya kuchezea.
We ndio punguwani namba moja! Mkurugenzi wa halmashauri tu anatumia gari ya hela hiyo sembuse raisi mustafu wa nchi? Hizo akili mnazitoaga wapi?
 
Ndo mnakujaga kujuta baadaye kwa sheria uliyoitunga ukidhani unamkomesha fulani au hutaguswa nayo... JPM alikiri hadharani kwamba aliiunga mkono sheria ya viongozi kuzikwa Dodoma lakini hakujua kama angekuwa Rais. Alipopata urais akasema mwili wake haiwezi zikwa kwa wagogo
 
Huu mwaka mpaka utakunya tu boga! Hakuna namna. Na usipo kunya hilo boga, haki ya nani nahama nchi!!
 
Mkuu leo ndio unayaona haya au ni kujipendekeza tu. Ningekuona wa maana kama ungeanza ya kuyandika haya tokea enzi za JK ambaye naye alioga mvua za matusi humu mitandaoni, akaja mwendazake naye alitukanwa hadi basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…