Ninakemea uongo, uzushi na fitna kwa Rais Samia. Wote mnaokosoa hamtafanikiwa

Huu ndio wakati muafaka wa kuzifuta sheria kandamizi na zile zisizotekelezeka
 
Hebu tuwekee mifano mitatu minne ya matusi husika.

 
Mimi naona tukamatwe tufungwe maisha maana hatuna kazi za kufanya huko segedansi tutalima, tutatengeneza matofali tutakuza uchumi wa gereza.
 
Unataka watu waandike unachotaka wewe?
Ukiwa mtawala utakoselewa
Ukiwa kiongozi utashauriwa
Sasa jua tofauti ya utawala na uongozi
Kuna mtu anatukanwa kama Trump mbona hajafunga mtu? Naye alitawala badala ya kuongoza
Ili haya yasiwepo ni kusikiliza sauti za walipa kodi mengine mnajitakia
 

Uvumilivu wa mawazo tofauti ni shughuli nzito.

Usipovumilia mawazo ya wengine unaweza ita kuwa ni matusi.

Kwani matusi au kashfa za mwendawazimu zina impact gani kwa mtu anayejielewa?

Wanaoongelea umuhimu wa katiba mpya wana hoja siyo matusi. Wanaohoji zawadi za kina Mwinyi wana hoja si matusi hayo. Wanaohoji nyumba za akina Kikwette wana hoja si matusi.

Zijibiwe hoja hizo siyo kushupaza shingo kwenye viroja.
 
Hasa hili kundi la mataga , chawa
 
Reactions: BAK
Hoja gani zaidi ya kujaza upuuzi humu
 
Dawa ni hawa Maraisi wawe wanaiba ili wasije kunyanyasika huko mbeleni watu wanakomaa na Sedan la kuendea Mkuranga.
kwan huwa hawaibi, kuna rais wa ccm ambae hajaiba, unafaham akaunt zao benki zina kias gan
 
kwan huwa hawaibi, kuna rais wa ccm ambae hajaiba, unafaham akaunt zao benki zina kias gan
Wamaina Peanuts ukilinganisha na Maraisi wengine wa Afrika.kwa mfano Uhuru na huyo wa South
 
mtu hapewi Uhuru wa kukosoa na Samia Bali katiba... Samia sio Mungu, kama ww unamuabudu kivyako
 
Kwa nini asianze kukiminya hicho kichwa chako kwanza ili kiwe na akili sawa na sisi binadamu wenzako? Maana kwa sasa akili zako hazina kabisa tofauti na zile za kuku [emoji215] eti!!
Kwani huyu Samia si ndie yule mlikuwa mnamsifia hapa jana na juzi au?
 
Bila fimbo hawaendi Hawa. Mama Samia chapa fimbo hawa
Kosa la mama ni yeye kujifanya mwanademcrasia!

Watz na democrasia wapi na wapi?

Anakuwa kama hakuwepo toka enzi za JK vile!

JK aliwapa watu uhuru wote ila wakamnyea kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…